Kushambuliwa kwa Mbowe: Polisi wasema wanaendelea na Uchunguzi, wapiga marufuku tukio hilo kufanywa la kisiasa. CHADEMA yamuhusisha Mchungaji Mashimo

Kushambuliwa kwa Mbowe: Polisi wasema wanaendelea na Uchunguzi, wapiga marufuku tukio hilo kufanywa la kisiasa. CHADEMA yamuhusisha Mchungaji Mashimo

Kupitia ITV terevision taarifa ya habari saa2 usiku ya tar..9/6/20 daktari masunga alisema yafuatayo.

Walimpokea mh. Mbowe usiku akiwa na maumivu makali ya mguu.
Nabaada ya uchunguzi wamebaini mfupa mdogo wa mguu umevunjika, hivyo yupo kwenye maumivu makari kwahiyo wanapanga kumfanyia upasuaji wa mguu.
MAMBO YAKUJIULIZA
Nikweli mbowe kavunjika mguu?? Nadhani hilo halina ubishi nahayupo wakulipinga
Achana na taarifa za kuambiwa mkuu. Je kabla ya kuleta hizi habari za kuvunjika hapa jukwaani. Je? ulipata nafasi ya kuona ripoti ya Daktari kuhusiana na mkasa uliomtokea mbowe?

Je? Daktari alisema mbowe alifikishwa saa ngapi hosp? Hapana! Kwanini?
Hii inaonekana daktari na chadema waliamua kuuficha ukweli kwa maana myika alisema saa6 usiku.
Ukweli gani unaoutaka wakati wanachama wake wamesema muda aliopelekwa ni saa 6? Au unataka kutuambia kwamba kuna ukweli unaaujua zaidi ya huyo Daktari/ Mbowe mwenyewe/Bulaya/Mnyika?

Bulaya alisema sa6 lkn msigwa alisema sa6 hadi sa7 usiku.

Hizi taarifa na zote police wazichunguze sababu daktari hakuona wala kusema kama kwenye vipimo vyake aliona mguu ulipigwa nakitu kizito kuperekea kuvunja mfupa maana kuvunjika kwa kupigwa nitofauti na kuvunjika kwa kutereza.
Kwa niaba ya CHADEMA tunakuomba ukawaambie hao polisi waanze kuchunguza tukio la LISSU, BEN SANANE, ROMA, MO n.k halafu watamalizia na hili tukio la Mbowe.

Lakini bado kwa nini chadema hawakanushi km mbowe hakuwa baa mda huo? Hakulewa siku hiyo?
Mkuu huwezi kuwapangia muda wa kukanusha hizo taarifa . Cha kukushauri kwa muda huu just relax, calm down, sit and wait. Time will tell.

Je kwanini daktari hakuzungumza kama mbowe alikuwa na kirevi au la?
Huwezi kumpangia Daktari jambo laa kuzungumza. Muda ukifika basi mtaelezwa ila kwa sasa mpe nafasi ya kumhudumia Dj Mbowe.

Hapa niwazi chadema hawana hoja za kisiasa zaidi ya kufanya harakati katika siasa.
Kwanza, unataka kuelewa kwamba mwenyekiti kuvunjika kwake kulitokana kuanguka wakati akiwa katika hali ya kulewa au alishambuliwa na watu wasiojulikana?

Pili, Kwani wakati anavunjika mguu alikuwa anafanya siasa? kama jibu ni hapana masuala ya kisiasa yanaingiaje hapa? na umetumia kipimo gani kujua kwamba CHADEMA hawana hizo hoja za kisiasa?
 
Kupitia ITV terevision taarifa ya habari saa2 usiku ya tar..9/6/20 daktari masunga alisema yafuatayo.

Walimpokea mh. Mbowe usiku akiwa na maumivu makali ya mguu.
Nabaada ya uchunguzi wamebaini mfupa mdogo wa mguu umevunjika, hivyo yupo kwenye maumivu makari kwahiyo wanapanga kumfanyia upasuaji wa mguu.
MAMBO YAKUJIULIZA
Nikweli mbowe kavunjika mguu?? Nadhani hilo halina ubishi nahayupo wakulipinga
Je? Daktari alisema mbowe alifikishwa saa ngapi hosp? Hapana! Kwanini? Hii inaonekana daktari na chadema waliamua kuuficha ukweli kwa maana myika alisema saa6 usiku.
Bulaya alisema sa6 lkn msigwa alisema sa6 hadi sa7 usiku.
Hizi taarifa na zote police wazichunguze sababu daktari hakuona wala kusema kama kwenye vipimo vyake aliona mguu ulipigwa nakitu kizito kuperekea kuvunja mfupa maana kuvunjika kwa kupigwa nitofauti na kuvunjika kwa kutereza.

Lakini bado kwa nini chadema hawakanushi km mbowe hakuwa baa mda huo? Hakulewa siku hiyo?

Je kwanini daktari hakuzungumza kama mbowe alikuwa na kirevi au la?

Hapa niwazi chadema hawana hoja za kisiasa zaidi ya kufanya harakati katika siasa.
Jitahidi uongeze bidii ya kuteetea uhuni
 
Iyo mipombe unayokunywa itakuponza, UNAONA SASA
IMG_20200608_212144.JPG
 
Swali la ajabu sana! Mbowe inajulikana alikuwa amelewa kabisa, mwambieni aache pombe yeye ni mtu mzima na kwa hadhi aliyonayo hastahili kunywa vile mpaka kitojielewa
Wewe mpuuzi hadi chenji, unaongea kanakwamba ulikuwepo
 
[QUOTE="Enzi na Enzi, post: 35656104, member:
Hii inaonekana daktari na chadema waliamua kuuficha ukweli kwa maana myika alisema saa6 usiku.
Bulaya alisema sa6 lkn msigwa alisema sa6 hadi sa7 usiku.
Hizi taarifa na zote police wazichunguze sababu daktari hakuona wala kusema kama kwenye vipimo vyake aliona mguu ulipigwa nakitu kizito kuperekea kuvunja mfupa maana kuvunjika kwa kupigwa nitofauti na kuvunjika kwa kutereza.

Lakini bado kwa nini chadema hawakanushi km mbowe hakuwa baa mda huo? Hakulewa siku hiyo?

Je kwanini daktari hakuzungumza kama mbowe alikuwa na kirevi au la?

Hapa niwazi chadema hawana hoja za kisiasa zaidi ya kufanya harakati katika siasa.
Unajua kwanini nimekata baadhi ya maneno yako? Sababu niliamua kukujibu ila nilivyorudia kusoma huku mwisho nikagundua hata jinsia yako hauielewi hivyo ni ngumu kwako kuanza kuelekezwa na kuyaelewa mambo.
Shukuru Mungu umeweza kuelewa jinsi ya ku log in na kuanzisha uzi ambao hata hivyo hautadumu kutokana na kuponzwa na uelewa wako.[/QUOTE]Sheria inasemaje ukishambuliwa, kutibiwa na kushitaki?
 
Tunakubali. Kumpa mwenzio vitasa vya faru john namna ile in uuwaji kabisa..
 
Unajua kwanini nimekata baadhi ya maneno yako? Sababu niliamua kukujibu ila nilivyorudia kusoma huku mwisho nikagundua hata jinsia yako hauielewi hivyo ni ngumu kwako kuanza kuelekezwa na kuyaelewa mambo.
Shukuru Mungu umeweza kuelewa jinsi ya ku log in na kuanzisha uzi ambao hata hivyo hautadumu kutokana na kuponzwa na uelewa wako.
Sheria inasemaje ukishambuliwa, kutibiwa na kushitaki?
[/QUOTE]
Unaona sasa, hata ku quote haujui
 
Mimi naendelea kuhesabu matukio mabaya dhidi ya Chadema kama ilivyokuwa kwa CUF miaka ile ya nyuma.
1.Ben Sanane. is unknown whereabout
2.Tundu lisu-Nearly dead -after Brutal gun short attack, 40 bullets on his body.
3.Halima Mdee and Others -Brocken hands by Magereza mchana kweupe
4.Akwilina -apigwa risasi na polisi akiwa ndani ya Daladla ,kisingizio kuzima maandamno ya Chadema.

Hali ianendelea kuwa ya kutisha Tanzania, Mbele twendako Kuna Visasi vina tungojea

Iko hesabu juu ya wanayoplan mambo haya maovu kwa watanzania wenzetu waliochagua kufanya siasa kwa mujibu wa sheria
 
Katika maofisa wa polisi watakaofungwa jela Murroto yumo
Tatizo kubwa la watanzania ni kusema uongo.Mbowe ni cha pombe na mtu wa milupo hakuna cha kuvamiwa alikuwa tungi na Mnyika ukweli anaujua ila chadema mnataka kutumia ulevi wa mbowe kutafuta umaarufu wa kisiasa.Mbowe akaungane na piere liquid kukesha kwenye pombe siasa imemshinda.
 
BTW mwenye ripoti ya Polisi atuwekee tuione wote kama imetoka.
 
Tatizo kubwa la watanzania ni kusema uongo.Mbowe ni cha pombe na mtu wa milupo hakuna cha kuvamiwa alikuwa tungi na Mnyika ukweli anaujua ila chadema mnataka kutumia ulevi wa mbowe kutafuta umaarufu wa kisiasa.Mbowe akaungane na piere liquid kukesha kwenye pombe siasa imemshinda.
Mmeambiwa msiingize siasa lakini bado mnahangaika ndani ya bunge
 
Huyu mbowe kaanza kulewa lini?
Mbona watu waningilia upelelezi kinyume na sheria?
CCm mnajaribu kutengeneza mazingira ya nini wakti ukweli utajulikana,?
Mbona CCM wamejenga khofu kubwa juu ya tukio hili?
Mimi naamini CCM imeshakufa,kilichobaki ni kujishikiza na matukio ya wapinzani.
Eti leo wanafurahi Mkopo wa WB na Pesa Za Corona,
Hawa jama kweli wameishiwa,
Miaka 5 imekwisha Taifa liko taabani,
Hawana la kuwaambia wananchi isipokuwa kutengeneza sifa za Madaraja ya Ubungo na Mitambo ya Umeme STg.George

Watu hawana Ajira, Maisha Magumu,Uchumi umekufa,Hela imepotea,
Nyimbo ndio zile zile za kila mwaka ,viwanda vilivyotarajiwa kuongeza ajira havionekani, na vilivyopo vinapunguza wafanyakazi.

Tafuteni kiki nyingine
lakini Mwaka huu mnalo hilo,
CCM Inawekwa Ubaoni.
Hata hivyo vyombo vya dola mnavyovitegemea kuwasaidia vime wachoka.
Askari polisi,Usalama, Majeshi na wao ni Watanzania wenye jamaa zao mitaani wanawaona wanavyosota na maisha.

Hili halihitaji tochi.

CCM BYE BYE
 
Uchunguzi ufike mwisho na taarifa ya uchunguzi itolewe.

Hizo marufuku wanazotoa sijui wanazitoa kwa malengo gani, kama hamtaki tukio lihusishwe na siasa mnataka lihusishwe na Corona au kitu gani?!

Tukio lolote lazima lihusishwe na shughuli ya mtu anayoifanya, kujaribu kulitoa nje ya hapo ni sawa na kutengeneza mfereji upeleke maji mlimani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu eti lihusishwe na korona
 
Scenarios za mashambulio yote mawili ( Tuñdu Lissu na hili la Mbowe Jana) yanafanana....

Obvious, wapangaji na watekelezaji ni walewale. Eneo la shambulizi ni lilelile. Walengwa ni wa chama kilekile walichoahidi kuwa ifikapo 2020 lazima kiwe kimefutwa...

Tofauti yake ni silaha tu zilizotumika. Tundu Lissu ni SMG na AK47. Huyu (Mbowe) naona walitumia nondo na mipini kuvunjia nyonga na miguu....
...
Mfano, tunategemea nini kama Rais Magufuli huyu aneteua mkuu wa Majeshi ama IGP ama RPC ama OCD kada mtiifu wa chama kilicho madarakani?

Hakuna " positive" cha kutegemea bali ni taabu tu na majanga kama haya...!!!
Kufananisha shambulio la Lissu na Mbowe siyo sahihi kabisa. Wakati shambulio la Lissu lilikuwa wazi la Mbowe ni la kubuni/kutungwa na wapambe wake, hasa taarifa ya awali ya Bulaya na Msigwa. Nasema hivyo kwa kuwa ni kauli tu ya Mbowe kwa hao wawili ndio inatawala. Hata Hawala yake hajasema lolote ingawa ndiye alikuwa mtu wa kwanza kufikishiwa ujumbe, inavyosemekana.

Pamoja na maungufu hayo, Mbowe hakupoteza fahamu na hadi leo hajatoka hadharani kueleza mkasa wote kama anavyofanya Lissu. Ukimya wake ni dalili kuwa hakushambuliwa.
 
Back
Top Bottom