Kushambuliwa kwa Mbowe: Polisi wasema wanaendelea na Uchunguzi, wapiga marufuku tukio hilo kufanywa la kisiasa. CHADEMA yamuhusisha Mchungaji Mashimo

Ushauri mzuri lakini tujifunze kuheshimu taaluma. Kwamba hujaona au kuoneshwa Polisi kwenye tukio, kama ni kweli, aina maana ushahidi utavurugwa.
 
Hoja yako ni nzuri sana,ila uandishi ndio tatizo.
. Taalifa...Taarifa
Nashahuli...Nashauri
.Kusubili...Kusubiri
.Maarumu...Maalum
.Kisaikorojia...Kisaikolojia
 
Nao wamekuwa as if wamepiga FARU JOHN kama mheshimiwa alopata ajari a.k.a PIERE LIQUID [emoji41][emoji41][emoji41]
Hapana, ni Ashk Majnun ndio zinawapelekesha.
Wataishia kufanywa vibaya sasa
 
Jibu hoja sasa achana na blahblah za ufipa
Hoja yako ni nzuri sana,ila uandishi ndio tatizo.
. Taalifa...Taarifa
Nashahuli...Nashauri
.Kusubili...Kusubiri
.Maarumu...Maalum
.Kisaikorojia...Kisaikolojia
 
Kwa hiyo kuonekana Mpaka saa sita usiku ni ticket ya Kushambuliwa ?
 
Hakuna cha kuvamiwa hapo,mwambieni apunguze mitungi na michepuko amezidisha mno.Hata afya yake imetetereka mno,apunguze stress za kuwazia chama chake
 
Ushauri mzuri lakini tujifunze kuheshimu taaluma. Kwamba hujaona au kuoneshwa Polisi kwenye tukio, kama ni kweli, aina maana ushahidi utavurugwa.

Si unajua tena mambo mara kwa mheshimiwa heche.
 

Kama ID yako tu yenyewe imekaa Kipumbavu hivi Wewe pia utaachaje na kukosaje pia kuwa Mpumbavu? Kwahiyo Wapumbavu mnateteana au?
 
Washambuliaji wote huwa wanafanya ambush yaani kuzuia au kuingulf uwezo wako wa kureact Mara zote wataanza kupora ufahamu wako kwa kukupotezea uwezo wako wa kureact kwao

Hili shambulio LA mbowe lililosababisha Tarsal metatarsal na ankle joint dislocation litakuwa shambulio la karne yaani ww wakati umepigwa ulikuwa wapi didn't you even react?

Na hata kama haukuwa na silaha hukurusha hata ngumi? Na hata kama ulirusha ngumi kwa nn hujaumia mkono?

Hii inanipa uhakika kuwa Mheshimiwa ni binadamu kulewa ni kawaida ya binadamu yawezakuwa umepata stress baada ya LISU Kutoa hotuba juzi ndio maana ukaenda kupunguza stress kwa konyagi

Lakini swali kwa wabunge vijana wa Chadema mlio na future kwa nn mufanye siasa za uongo na utapeli mlitakiwa mkiri tu kuwa Mwenyekiti wetu naye ni binadamu kulewa na kuwa na michepuko ndio uanaume lkn kwa nn hamusomi alama za nyakati kuwa serikali hii haifanyi maigizo? Hamjui kwamba Rais si dhaifu?
 
Umehitimisha hoja yako na mistari ya mwisho nimehisi wewe ni Kisarawe
 
Huu mpango utakuwa umesukwa ndani ya Chadema,kutafta sympathy kwenye uchaguzi,ila wajinga utasikia wanaropoka tu.
Kama ni mpango basi sawa na magaidi ambao hujilipua . Ni ujasiri wa hali ya juu mtu kupanga uvunjwe miguu kisa kutafuta nafasi ya uongozi . Hebu wewe tukuahidi ukatwe kidole komoja tu cha mkono halafu upewe kuitawala dunia
 
Nashauri fedha ambazo zitatengwa kufanyia uchunguzi zielekezwe kukabiliana na janga la corona kwani Mheshimiwa spika alikwisha kamilisha uchunguzi kwa kuwatuma madaktari wake ambao walimthibitishia kuwa Mh Mbowe alikuwa amelewa chakari akateleza kwenye ngazi na kuteguka kidogo kwenye kifundo cha mguu . Maelezo haya yako kwenye answered za bunge
 
Answered za bunge ndo kitu gani kiazi kipya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…