Kusheherekea miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania wakati tokea Uhuru hadi leo Taifa lina Changamoto za Kimsingi zifuatazo ni Uzuzu uliotukuka

Kusheherekea miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania wakati tokea Uhuru hadi leo Taifa lina Changamoto za Kimsingi zifuatazo ni Uzuzu uliotukuka

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
1. Ujinga uliochanganyika na Upumbavu.

2. Elimu mbovu na inayozalisha Mazuzu wengi na Ajira kuwa Janga la Kitaifa.

3. Umeme usio na uhakika nchini.

4. Kutopatikana Maji kwa Wananchi.

5. Ukabila, Udini na Ufisadi mkubwa.

6. Afya duni kwa Watanzania wengi.

7. Siasa mbovu na Demokrasia ya Kinafiki.

8. Sheria Kandamizi kwa Watu Fukara.

9. Huduma Duni za Usafiri na Usafirishaji.

10. Maadili mabovu kwa Watendaji.

11. Tofauti baina ya wenye nacho na wasio nacho Kuongezeka maradufu.

Kwa Kiongozi mwenye Akili Timamu na anayejitambua kwa hizi Changamoto zangu 11 tajwa hapa kamwe hawezi Kujiandaa Kusheherekea wazi wazi Sherehe za Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom