Kusherehekea Muungano wa JMT bila kujua alipozikwa shujaaa Kassim Hanga ni unafiki

Alikamatwa Dar na Nyerere akapelekwa Zanzibar, akauwawa na Karume.Serikali ya Mapinduzi inajua alizikwa wapi au alitupwa wapi?
 
Kati ya tactical blunder alizozifanya Nyerere katika utawala wake ni hii ya kumkabidhi Hanga kwa Karume. Na alikuja kujuta badae. Mengi hayasemwi lakini Karume alikuwa Yahya Jammeh wa Visiwani.
 
Mbona nilisikia kule twita aliwekewa jiwe kubwa kifuani akatupwa baharini usiku usiku huku akiwa ni mzima kabisa.
 
Kassim Hanga alikuwa shujaa mwanamapinduzi na alikuwa mmoja wa waasisi wa Smz.

Ikumbukwe kuwa bila ya SMZ kuungana na Tanganyika leo kusingukuwa na JMT.

Kwa nini alipozikwa Kassim Hanga hapajulikani mpaka leo hii ili iwe kumbukumbu kwa taifa letu?
Alizikwa ktk bustan pempezon mwa barabara ya samora mnara wa saa mnazi mmoja
 
Kassim Hanga alikuwa shujaa mwanamapinduzi na alikuwa mmoja wa waasisi wa Smz.

Ikumbukwe kuwa bila ya SMZ kuungana na Tanganyika leo kusingukuwa na JMT.

Kwa nini alipozikwa Kassim Hanga hapajulikani mpaka leo hii ili iwe kumbukumbu kwa taifa letu?
Hii story haiwasidii sana wengi.ungeongeza nyama zaidi ili watu waweze kuelewa vizuri uhusiano wa Hanga na kaburi.Uhusika wake kwenye mapinduzi na dhahama nzima.

Kuna historia nyingi inapotea.tuna washukuru wahenga wachache waliobaki wanatupia tupia humu baadhi ya simulizi zilizo na msaada wa kujuza kizazi cha sasa kuhusu Historia mhimu ya taifa lao
 
Kassim Hanga alikuwa shujaa mwanamapinduzi na alikuwa mmoja wa waasisi wa Smz.

Ikumbukwe kuwa bila ya SMZ kuungana na Tanganyika leo kusingukuwa na JMT.

Kwa nini alipozikwa Kassim Hanga hapajulikani mpaka leo hii ili iwe kumbukumbu kwa taifa letu?
Weka nyama mdau alikuwa nani ilikuwaje na alikufaje
 
Kassim Hanga alikuwa shujaa mwanamapinduzi na alikuwa mmoja wa waasisi wa Smz.

Ikumbukwe kuwa bila ya SMZ kuungana na Tanganyika leo kusingukuwa na JMT.

Kwa nini alipozikwa Kassim Hanga hapajulikani mpaka leo hii ili iwe kumbukumbu kwa taifa letu?
ukatili wa viongozi wa Kiafrika umeanza zamani!! Mungu mkubwa sasa hivi na wao tulishawazika!!
 
Kassim Hanga alikuwa shujaa mwanamapinduzi na alikuwa mmoja wa waasisi wa Smz.

Ikumbukwe kuwa bila ya SMZ kuungana na Tanganyika leo kusingukuwa na JMT.

Kwa nini alipozikwa Kassim Hanga hapajulikani mpaka leo hii ili iwe kumbukumbu kwa taifa letu?
Yeye ni nani?
 
Back
Top Bottom