Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Ngoja aje mohamed saidAlikamatwa Dar na Nyerere akapelekwa Zanzibar, akauwawa na Karume.Serikali ya Mapinduzi inajua alizikwa wapi au alitupwa wapi?
Kati ya tactical blunder alizozifanya Nyerere katika utawala wake ni hii ya kumkabidhi Hanga kwa Karume. Na alikuja kujuta badae. Mengi hayasemwi lakini Karume alikuwa Yahya Jammeh wa Visiwani.Alikamatwa Dar na Nyerere akapelekwa Zanzibar, akauwawa na Karume.Serikali ya Mapinduzi inajua alizikwa wapi au alitupwa wapi?
Hilo linanalowahusu Waarabu' wenyewe Kwa wenyewe huwa hagusi😊Ngoja aje mohamed said
Alizikwa ktk bustan pempezon mwa barabara ya samora mnara wa saa mnazi mmojaKassim Hanga alikuwa shujaa mwanamapinduzi na alikuwa mmoja wa waasisi wa Smz.
Ikumbukwe kuwa bila ya SMZ kuungana na Tanganyika leo kusingukuwa na JMT.
Kwa nini alipozikwa Kassim Hanga hapajulikani mpaka leo hii ili iwe kumbukumbu kwa taifa letu?
Hii story haiwasidii sana wengi.ungeongeza nyama zaidi ili watu waweze kuelewa vizuri uhusiano wa Hanga na kaburi.Uhusika wake kwenye mapinduzi na dhahama nzima.Kassim Hanga alikuwa shujaa mwanamapinduzi na alikuwa mmoja wa waasisi wa Smz.
Ikumbukwe kuwa bila ya SMZ kuungana na Tanganyika leo kusingukuwa na JMT.
Kwa nini alipozikwa Kassim Hanga hapajulikani mpaka leo hii ili iwe kumbukumbu kwa taifa letu?
Weka nyama mdau alikuwa nani ilikuwaje na alikufajeKassim Hanga alikuwa shujaa mwanamapinduzi na alikuwa mmoja wa waasisi wa Smz.
Ikumbukwe kuwa bila ya SMZ kuungana na Tanganyika leo kusingukuwa na JMT.
Kwa nini alipozikwa Kassim Hanga hapajulikani mpaka leo hii ili iwe kumbukumbu kwa taifa letu?
Ni kweli Hanga na Majula baba yake mzazi na Abdalah Majula hajui kabuli la baba yake. Alichokipata Karume ilikuwa na haki yake.Mbona nilisikia kule twita aliwekewa jiwe kubwa kifuani akatupwa baharini usiku usiku huku akiwa ni mzima kabisa.
ukatili wa viongozi wa Kiafrika umeanza zamani!! Mungu mkubwa sasa hivi na wao tulishawazika!!Kassim Hanga alikuwa shujaa mwanamapinduzi na alikuwa mmoja wa waasisi wa Smz.
Ikumbukwe kuwa bila ya SMZ kuungana na Tanganyika leo kusingukuwa na JMT.
Kwa nini alipozikwa Kassim Hanga hapajulikani mpaka leo hii ili iwe kumbukumbu kwa taifa letu?
Yeye ni nani?Kassim Hanga alikuwa shujaa mwanamapinduzi na alikuwa mmoja wa waasisi wa Smz.
Ikumbukwe kuwa bila ya SMZ kuungana na Tanganyika leo kusingukuwa na JMT.
Kwa nini alipozikwa Kassim Hanga hapajulikani mpaka leo hii ili iwe kumbukumbu kwa taifa letu?