Kusherehekea siku ya kuzaliwa hali ya kuwa wananchi wanateseka na umasikini

PM wa UK sio head of state. President of URT is the head of state.
Hakuna ubaya wowote rais kusherekea siku yake ya kuzaliwa. Kama ingefanyika dhifa ya kitaifa Ikulu, kusherekea birthday ya rais, hapo ndio labda angekuwa na hoja.
P
Huku mtaani hao wanaojiita wanyonge ndio makao makuu ya birthday na vigodoro na kumwagiani mimaji kama wehu.

Kuna watu ni wachawi kamili ila vitendea kazi tu ndio hawana.
 
Watz tuache roho ya kichawi kumuonea wivu mama, mbona mtaani tunafunga mitaa sbb ya HBD.

Serikali haimalizi umaskini kwa mtu mmoja mmoja koo ni juhuzi zetu kuutokomeza
 
Ikulu ni kama nyumbani kwake tu..ndo maana wana nyumba..na walioowa au kuolewa wanafanya yao usiku.

Hii ya kusema ni sehemu takatifu ni wewe unalazimisha.
 
Mkuu pascal,
Wew ni mwandishi wa habari tena mwenye jina kubwa hapa nchini. Kwanini unatumia nafasi uliyonayo na utashi wako kutaka kuhalalisha baadhi ya matukio ambayo kimtazamo ni ya kibinafsi kuwa ya kitaifa.

Wananchi tuna raha gan hata tusherehekee birthday ya MTU..? Ikiwa zetu wenyewe zimetushinda. Tanzania ni kubwa sana Bwana Pascal,matatizo ni mengi sana...kutaka kuifanya birthday ya Rais kuwa tukio linalotrend hakika ni kuwakosea watanzania wengi wanaovuja jasho.

Mkuu Paskali,
Uspende kubishana kwenye mambo madogo madogo kama haya.
Umekua.
 
Kila mrefu hula mbuzi kwa kamba yakwe wahenga walinena..
 
Ikulu ni kama nyumbani kwake tu..ndo maana wana nyumba..na walioowa au kuolewa wanafanya yao usiku.

Hii ya kusema ni sehemu takatifu ni wewe unalazimisha.
Huna akili, yaani Ikulu iwe kwake? Acha ujinga,Ile ni Ofisi ya umma!
 
Watz tuache roho ya kichawi kumuonea wivu mama, mbona mtaani tunafunga mitaa sbb ya HBD.

Serikali haimalizi umaskini kwa mtu mmoja mmoja koo ni juhuzi zetu kuutokomeza
Kwa hiyo yanayofanyika mtaani na yeye anapaswa kufanya?
Huku mtaani tunalewa hadi tunajisaidia, hivyo na yeye afanye hivyo?
 
Huku mtaani hao wanaojiita wanyonge ndio makao makuu ya birthday na vigodoro na kumwagiani mimaji kama wehu.

Kuna watu ni wachawi kamili ila vitendea kazi tu ndio hawana.
Yanayofanyika mtaani yanapaswa pia kufanywa na raisi?
 
Moja ya kazi zangu kama mwandishi wa habari ni kuielimisha jamii, hivyo naomba kuchukua fursa hii kuielimisha kuwa Ikulu sio tuu ni ofisini kwa rais, pale pia ni nyumbani kwake, hivyo yuko free kufanyia jambo lake lolote, private and public.
Karibu mitaa hii ujielimishe kuhusu Ikulu.
Tena tuna bahati, , thanks God huyu Mama sio kama mtangulizi wake, haendi na mafile hadi chumbani, vinginevyo, tungekwenda kuwa na Ikulu ya Zanzibar!.
P
 
Kheri yake kwenye siku yake ya kuzaliwa...
 
Nimesoma bandiko lako la tarehe 22/April/2020 Kwa makini,ulichozungumzia ni majukumu ya Rais Kwa nchi na sio SHEREHE! binafsi ndani ya Ikulu! Mm sipingi na wala hainihisu SHEREHE yake ya kuzaliwa,hiyo ni mambo yake binafsi,Ila mm nachopinga ni kufanyika ndani ya Ikulu,iko hivi,japo hakuna kifungu cha Sheria wala Katiba inayoruhusu au kukataza,lakini kuna maadili na utamaduni ambao mtu mwenye upungufu utashiua taifa tunapaswa kulilinda. Unless uwe unatafta "Kiki " najua hata nafsini mwako hili hkubaliani nalo.
 
Nipo Shinyanga. Mwishoni mwa Novemba mwaka jana, nilinunua mtungi wa gesi wa kilo 30 kwa 54,000/=. Leo, nashangaa naambiwa 59,000/=.
Upandaji wa vitu, sisikii Serikali ikikemea!
wako bize ikulu kumzawadia chifu mazawadi na kubadilishana bahasha za 'wekundu'
wanaokaa kwa shemeji hawawezi kuelewa hili
 
Utakufa bila kupata TEUZI msukuma mwenye njaaaa
 
Huna tofauti na wale wanaoenda hospitali unafika muda daktari anabidi akale unaanza kulaumu na kejeli na matusi kwanni daktari ale atuache wagonjwa!!!!
 
Kwanza nakuelewa sana Ila kiukweli baadhi yenu wewe ukiwemo ni ma minder wa vitu vidogo vya ajabu kuvishupalia!. Nimekueleza Ikulu ni ofisini kwake na nyumbani kwake, imetokea leo ni birthday yake, asifanye?, Akafanyie wapi?. Akakodi hoteli?. Mbona nyie ni watu wa ajabu sana?. What is wrong Samia kuimbiwa birthday Ikulu?. JPM alikuwa anaendesha vikao vya CC na NEC ya CCM Ikulu, nyie watu mliwahi kufungua hayo mabakuli yenu kukemea?. What is a birthday compared?, It's nothing!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…