Melubo Letema
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 416
- 414
Mwanariadha Gabriel Gerald Geay Ametutoa kimasomasokwa kushika nafasi ya 7 kwa muda wa saa mbili dakika Saba na Sekunde thelathini na moja (2:07:31) katika Mashindano ya Dunia ya Riadha, yaliyofanyika Oregon nchini Marekani tarehe 17 Julai 2022 Jumapili iliyopita.
Kwa upande wa Mwanariadha mwingine mwakilishi Emanuel Giniki Ashindwa kumaliza mbio kutokana na Uchovu wa Safari Baada ya kuchelewa kupata visa ya kufika Marekani. Pia Maandalizi yake yaliyokuwa Hafifu, alipofika Huko viongozi hawakuwepo kumfanyia massage ya Viungo na kumuelekeza cha Kufanya Kwa kuwa Viongozi walikosa visa.