Na atafute pesaAcha masturbation kijana
Ila wewe ni mtukutu kweli yaaaniPESA, PESA, PESA
UNAZOOOOOOOOOOOO???
Acha umalaya, wa kula kila mara, anaza kula kwa week 2 mara mojaHellow wanandugu jamaa.
Nina changamoto kwenye suala la kufanya mapenzi, yani nikianza tu huwa nahitaji kuwahi kumaliza, la sivyo mambo yanakwenda haraka. Baada ya hapo huwa sirudii tena, hamu inakata. Mazoezi nafanya, yani sijui nini shida, stress au nini. Naombeni msaada wanaume wenzangu.
Saw kiongozi naend kupim ntakurudiaJaribu kwenda Hospital Ukaangalie Afya yako.
1. Mfumo mzima wa Mkojo..
2. Hernia.
3. Vidonda vya Tumbo.
4. Tezi Dume.
5. Sukari.
6. Maumivu ya nyonga na mgogo.
Ukifanikiwa kupima na kama bado una Tatizo utanitafuta nitakuelekeza Dawa ya kudumu.