Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Punguza stress, stress ni changamoto na pia kunywa maji mengi, acha kuangalia video za porn kama bado unaangalia, punguza au acha kabisa masturbation, pia usipanie mchezo hata kama mliahidiana na mwezio kufanya game labda leo akili yako i tune kwenye mambo mengine siyo kuanzia asubuhi unawaza hii inaweza kusababisha uwahi kumaliza, mengine zaidi waone wataalamu kwa msaada zaidi