Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,901
- 27,423
Kwa maelezo haya, yeyote atakayejidai kukusaidia atakuwa anakudanganya tu, sababu kwa maelezo haya umeshindwa kuonyesha tatizo.Hellow wanandugu jamaa.
Nina changamoto kwenye suala la kufanya mapenzi, yani nikianza tu huwa nahitaji kuwahi kumaliza, la sivyo mambo yanakwenda haraka. Baada ya hapo huwa sirudii tena, hamu inakata. Mazoezi nafanya, yani sijui nini shida, stress au nini. Naombeni msaada wanaume wenzangu.
Halafu, Kwani si huwa unafanya ili umalize? Kwani huwa kuna lengo lingine?