Kushindwa kufanya tendo. Naombeni msaada wanaume wenzangu

Kushindwa kufanya tendo. Naombeni msaada wanaume wenzangu

Yangu inasimam inshu ni kuwahi kumwaga kaka na kuto rudia tend niki ingiza tu na mwaga
Fika Hapo Upate Sukari Ya Warembo
Makala Moja Nzuri Sana Iliandaliwa Na BBCSWAHILI
Kwa Waliopata Huduma Hapo Zilikuwa Mitalimbo Imrlala Doro Ikaamshwa
Wahi Mkuu Upate Tiba
Tulinde Migongo
 
Kuku, mbuzi, ng'ombe, huwa wanapiga bao moja ndani ya sekunde zisizozidi 10, wewe ni nani hadi upige bao zaidi ya moja? Utaumia bure kiakili na hautaishinda mbususu. Piga bao moja kwa utulivu kaa pembeni.
Una Hoja Tena Nzito
Viumbe Hatuzaliwi Kwa Usawa Wapo Warefu, Wafupi
wanene, Wembamba, Ila Wote Kupata Raha

Kwenda Mwaka Kileleni Siyo Mafanikio
Aijaze Dunia
 
acha kabxa kutumia booster mkuu huwa sio nzuri.

Baadala ya booster ukitaka kukutana na mwenza wako nusu saa kabla.
kula ndizi mbili, tikitik maji kula hadi lile ganda jeupe, limenye taratibu na kisu na maji mengi mara kwa mara penda kunywa kulingana na kilo zako za mwili.

Au tafuna mziz wa mgomba pamoja na kalanga

mgomba huu wa ndizi?
 
Upo sawa tu, hakuna kanuni wala mda maalumu wa kumaliza hata dakika 2 ni sawa tu, ipo siku utaenda zaidi ipo siku utapungua hivyo hakuna tatizo kama inasimama na mbegu zina ubora
 
Back
Top Bottom