Fundi kipara
Senior Member
- Oct 27, 2019
- 125
- 247
Fei kushindwa soka letu limeshinda! Ukubwa wa jina la Fei alioupata akiwa Yanga ungekuwa silaha ya kuuangamiza mpira wetu 🇹🇿.
Kivipi?
Kesi/Shauri lake kama angeshinda lingetumika kama kielelezo na mfano kwa Wachezaji mbalimbali kuvunja mikataba yao bila utaratibu.
"Mbona Fei alivunja?" Kauli kama hizi zingetumika kuhalalisha ouvu. Kesho angeibuka Chama, keshokutwa Bangala, Mtondogoo Prince Dube wadai kuwa hawana furaha, kwa hiyo wanavunja mikataba yao.
FIFA waliliona hilo, that's why wakaweka kanuni ambazo unapaswa kuzifuata ili uvunje Mkataba kanuni ambazo Fei hajakidhi hata moja. Nilishazitaja sana, sirudii wino wa kalamu yangu utaisha.
Hii issue haijainufaisha Yanga pekee. Klabu zote Nchini zimenufaika kupitia shauri hili. Hakuna tena mchezaji atakayeamua kuvunja Mkataba kienyeji, akifanya hivyo klabu husika na kamati itatumia kesi ya Fei kama reference.
NB: Fei anaangamizwa na wanaomzunguka, ambao baada ya kufeli hatawaona.
Hii habari mbaya sana kwa Makolo na udunduka wao😁