Uchaguzi 2020 Kushindwa kwa maandamano ya CHADEMA na ACT-Wazalendo ni ushahidi wa wazi kuwa ushindi wa CCM hauna dosari zozote

Book 7 ushapewa kwa kuandika huu ujinga? Toka lini JWTZ wakafanya usafi karibu na ofisi za vyama? Mbowe mmemkamata wa nini? Siku itafika ya kila mmoja kuingia barabarani CMC ni Ovyo kabisa mmeiba kura mpaka mmepitiliza Mmebaka demokrasia
 
CCM ndio inakufa hivyo! Kwa sasa imebaki chama dola.

Mnajitekenya na kucheka wenyewe.

Nini kimewafanya muwakamate kabla hata hakujakucha?

Waoga kuliko kunguru!
Andamaneni mkawatoe kwa nguvu sio kutwa kushinda hapa mnatujazia saver na matamko yenu msiyoweza kutekeleza
 
Inamaana kweli hujui kuwa jeshi la Police ndilo lililotishia wananchi wasije kwenye maandamano? Mfano mimi sijaja kwenye maandamano, je inamaana siuungi mkono maandamano? Hii ngoma bado mbichi sana, wazee watafanya usafi mpaka watachoka
Si ulisema uko tayari Kwa lolote, au hujui Maana ya mtu kuwa tayari Kwa lolote?

Au mpaka uambiwe wewe ni zumbukuku ndio uvimbe humu mitandaoni Kwa mitusi kama ngedele
 
Huu utopolo unaleta kwa hisani ya VPN?

Mamboleo naye anakubaliana nawe kuwa wananchi hawakuitikia maandamano au ni kuota kwako ndoto tu?
 
Huu utopolo unaleta kW hisani ya VPN?

Mamboleo naye wanakubaliana nawe kuwa wananchi hawakuitikia maandamano au ni kuota kwako ndoto tu?
Kwani wewe unaonaje? Je wananchi wameandamana?
 
Kwani wewe unaonaje? Je wananchi wameandamana?

Kwani wewe unaona mamboleo anakubaliana nawe kuwa wananchi hawa kuunga mkono?

Hivi wanananchi huwa mnadhani huwa ni nyie malb7, mataga au mjizi ya kura na chaguzi peke yenu?
 
Wananchi wanaogopa kuvunjwa miguu na kuuwawa kwa risasi siyo kwamba wanakubaliana na matokeo, hata wakati wa mkoloni mwingereza wananchi hawakuandamana wala hawakuingia msituni ila siyo kwamba walikuwa wakikubaliana na mkoloni, uvumilivu una mwisho endeleeni na ukandamizaji na uroho wa madaraka
 
Kwani wewe unaonaje? Je wananchi wameandamana?
Hata wakati wa mkoloni Mwingereza wananchi hawakuandamana wala hawakuingia msituni ila siyo kwamba walikuwa wakikubaliana na mkoloni, uvumilivu una mwisho endeleeni na ukandamizaji na uroho wa madaraka
 
Hawaachiwi na hakuna kitatokea, Tanzania is a sovereign state, kama hamjui kwa nini watanzania wamewakataa moja ya sababu ni hiyo ya kuwaabudu hao mabwana zenu, mkipewa nchi nyie mtatuuza aisee.
Sikubaliani na KUTEGEMEA Hao wazungu hilo hapana lakini nsikubaliani na mambo ya mgawanyiko yalivyo hapa Tanzania...
 
Hivi mbwa jike anaitwaje kiingereza? Ndilo jina la huyu mtoa uzi
 
ha ha ha 😜😜😜
 
Lengo la limetimia ila hamjaelewa mchozo unaoendelea. Endeleeni kuwakamata mtaelewa mkiwa mmechelewa.
daah pole mkuu.. yani kila taarifa ikitoka kunanga uchaguzi unahisi pengine itawasaidia!! Hiyo haipooo cdm ndio bac tena yatabaki maneno tuπŸ˜πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
daah pole mkuu.. yani kila taarifa ikitoka kunanga uchaguzi unahisi pengine itawasaidia!! Hiyo haipooo cdm ndio bac tena yatabaki maneno tuπŸ˜πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Ndio nyie mlisema upinzani umekufa lakini mwenyekiti wenu alipiga magoti kuomba kura.Uwezo wenu wa kuona mbali ni mdogo mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…