Uchaguzi 2020 Kushindwa kwa maandamano ya CHADEMA na ACT-Wazalendo ni ushahidi wa wazi kuwa ushindi wa CCM hauna dosari zozote

Ndio nyie mlisema upinzani umekufa lakini mwenyekiti wenu alipiga magoti kuomba kura.Uwezo wenu wa kuona mbali ni mdogo mno.
mkuu salary siasa za mtandaoni kwa hapa tz bado sanaaa,

Mlijiaminisha kushinda uchaguzi huu wakati mkitumia id sitasita za uongo, sikujua mlikuwa mnamdanganya nani mkuu,any way pole😂😂😂😀
 
Kama ni mtiti ungeanza siku ileile ya kupiga kura.wanadai walikamata kura feki kisha badotena wakakubali kuendelea na upigaji kura!
watu wenyewe wakuliamsha ndo awa wa humu jf wamechoka vibaya sana wakina Mmawia na wenzie.
Kuna Rais mmoja aliwahi kumwambia JK kuwa anaongoza maiti!Nimeafiki maneno hayo!

Uchaguzi umeisha na maiti zimekubali udhalimu uliofanywa!
Kifuatacho sasa ni maisha yaendelee,wenye serikali walete maendeleo waliyoahidi!Hakuna visingizio!
Kwa upande wangu mimi mwaka huu ndio wa mwisho kushiriki jambo lolote la siasa la moja kwa moja kama kupiga kura au kwenda kwenye mikutano ya aina yoyote yenye sura za kisiasa!
Siasa za bongo uhuni na maigizo ya hali ya juu!
So nachagua kuishi kwa furaha bila siasa!
 
Nafsi Ina kusuta maana hukupiga kura
 
Book 7 ushapewa kwa kuandika huu ujinga? Toka lini JWTZ wakafanya usafi karibu na ofisi za vyama? Mbowe mmemkamata wa nini? Siku itafika ya kila mmoja kuingia barabarani CMC ni Ovyo kabisa mmeiba kura mpaka mmepitiliza Mmebaka demokrasia
Hiyo siku itakua lini sasa
 
Vyama vya upinzani vimetii agizo la serikali la kuzuia maandamano,kama mnajiamini mnazuia ya nini, vitisho chungu nzima halafu mnatuhadaa mnakubalika chini ya kapeti mnajua nini kingetokea mngeacha yafanyike.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona mmewakamata viongozi wa upinzani kabla hata hakujakucha?Hofu yenu ni nini?
Sikiliza bwana!

Hiyo ya viongozi kukamatwa ilitosha kuwa chachu ya maandamano! Lakini kwakuwa watz hawana mvuto na upinzani wamewaachia mpambane na hali zenu
 
Yale yalikuwa maandamano ya majobless wapya mjini, walitaka kuchafua image ya nchi kihuni huni.

Wananchi 12M hawapaswi kubezwa na wananchi 1M..."wengi wape" wahenga walisema.

Uchaguzi umeisha sasa tuijenge NCHI.

URT - JPM
SMZ- Mwinyi
 
Maandamano ndio hatua ya mwisho ya kifo cha ACT na CHADEMA.

Kushindwa kwake ndio mwisho wao.
 
BRAVO
 
Ni
Mbona mmewakamata viongozi wa upinzani kabla hata hakujakucha?Hofu yenu ni nini?
Ni kweli upinzani huu wa Mbowe na Lema hauna mvuto hauwezi kuwashawishi watu kuwapigania Mbowe na Lema ni wezi kama walivyo maccm LISU ANGEKUWA FRONT LINE mi ningekuwa nyuma yake lkn si kina Lema
 
Hivi wengine huwa mnawaza kwa kutumia kiungo gani?? Kama unajua kila.kitu kilienda sawa, vitisho vilivyotolewa dhidi ya watakaoandamana vililenga nini? Mngewaacha watu huru kupractice haki yao ya kikatiba ya kuandamana kwa amani uone kama wasingeandamana!
 
Ni makelele tu

Hayana lolote.

Leo sikiliza TBC taifa saa 2 na robo usiku. Umsikie Nyerere anasemaje kuhusu hao mabeberu.
mabeberu ?? ndio mtawajua sasa si uliona walivyomchomoa lissu pale central bila ya masharti yeyote wale sio vipimo vyenu
 
hahaha wanaleta mipasho kwenye siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…