expedition
JF-Expert Member
- Jul 16, 2016
- 935
- 2,995
Ukiendelea tena kutumia aina hii ya uandishi wako nitakuitia Ndalichako uje umalizane nae mwenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wangu, msamehe huyo kachanganyikiwa.Huu uandishi ni waajabu ajabu,sijawai kuona.embu edit uchafu wako
Tiny ya Dar Yanga Africans hivi karibuni ulitokana sare na tiny ya Comoros Baada ya Kunigunda Timi hiyo ya Comoros goal 5-0 huko Comoros , Lakini mechi ya marudiano hapa hapa Nyumbani Timi hizo zilitoka sare .
Na hii ni Baada ya kiongozi wao moja a unfashionable kutoka ndano kwa masuala Yake Binfsi/ yakibiashara.
Baada ya Hapo kulifuatiwa naMechi na watano wao ea jadi Simba sports club. 25/02/2017 ambayo Yanga walipata goal la mapemana kuweza kuutawala mpira kwa muda mrefu bila kuwa na Nia ya kufunga magoli Zaidi na hata pale Mchezaji wa Simba alipotolewa nje kwa jadi nyekundu na Simba wakiwa nyumba kwa Goal moja , bado uchezaji wa Timu ya Yanga haukuwa na Mia ya dhati ya kushinda pambano Hilo na hii inajidhihirisha na uchezaji wao wa kukaribisha mashambulizi golini kwao ambao ulileteleza goal la kusawazisha na goal la ushindi
Good, fikra pevu.That's football. Mpira umechezwa uwanjani,wachezaji wamecheza kadri ya uwezo wao.Tukubali matokeo.
Lazima tuwapongeze Simba kuanzia washabiki,wanachama,wachezaji,benchi la Ufundi na viongozi wao kwa umoja,uvumilivu,subira na kutokata tamaa ambako kulitokana na upambanaji tangu walipokuwa nyuma kwa goli moja la Yanga.
Omog na Mayanja,wameonesha ueledi wa hali ya juu kwa kutake risk ya sub ambazo kama Simba wangefungwa,asingeeleweka na walio wengi.
Yanga kubalini matokeo badala ya kupakana matope na kutafuta mchawi.
Van Gaal
Thanks mkuu LihakangaGood, fikra pevu.
Mwandiko huo kaka kizungumkutiTiny ya Dar Yanga Africans hivi karibuni ulitokana sare na tiny ya Comoros Baada ya Kunigunda Timi hiyo ya Comoros goal 5-0 huko Comoros , Lakini mechi ya marudiano hapa hapa Nyumbani Timi hizo zilitoka sare .
Na hii ni Baada ya kiongozi wao moja a unfashionable kutoka ndano kwa masuala Yake Binfsi/ yakibiashara.
Baada ya Hapo kulifuatiwa naMechi na watano wao ea jadi Simba sports club. 25/02/2017 ambayo Yanga walipata goal la mapemana kuweza kuutawala mpira kwa muda mrefu bila kuwa na Nia ya kufunga magoli Zaidi na hata pale Mchezaji wa Simba alipotolewa nje kwa jadi nyekundu na Simba wakiwa nyumba kwa Goal moja , bado uchezaji wa Timu ya Yanga haukuwa na Mia ya dhati ya kushinda pambano Hilo na hii inajidhihirisha na uchezaji wao wa kukaribisha mashambulizi golini kwao ambao ulileteleza goal la kusawazisha na goal la ushindi
Uandishi huu ni bora ukarudi darasani ukajifunze kuandika kitu kinachoeleweka. Mnatuchosha na post zenu zisizo eleweka.Tiny ya Dar Yanga Africans hivi karibuni ulitokana sare na tiny ya Comoros Baada ya Kunigunda Timi hiyo ya Comoros goal 5-0 huko Comoros , Lakini mechi ya marudiano hapa hapa Nyumbani Timi hizo zilitoka sare .
Na hii ni Baada ya kiongozi wao moja a unfashionable kutoka ndano kwa masuala Yake Binfsi/ yakibiashara.
Baada ya Hapo kulifuatiwa naMechi na watano wao ea jadi Simba sports club. 25/02/2017 ambayo Yanga walipata goal la mapemana kuweza kuutawala mpira kwa muda mrefu bila kuwa na Nia ya kufunga magoli Zaidi na hata pale Mchezaji wa Simba alipotolewa nje kwa jadi nyekundu na Simba wakiwa nyumba kwa Goal moja , bado uchezaji wa Timu ya Yanga haukuwa na Mia ya dhati ya kushinda pambano Hilo na hii inajidhihirisha na uchezaji wao wa kukaribisha mashambulizi golini kwao ambao ulileteleza goal la kusawazisha na goal la ushindi
Nimeisha waeleza Tatizo ni dictionary ya kwenye Chombo ninacho tumia kwamba ukiandika mfano timu yenyewe Ina predict neno kuwa Tiny Sasa nyinyi post ndalichako mmekazia Hapo Hapo kwa hiyo mwenye tatizo sio Mimi Bali ni wewe mwenye kushindwa kuelewaUandishi huu ni bora ukarudi darasani ukajifunze kuandika kitu kinachoeleweka. Mnatuchosha na post zenu zisizo eleweka.
In general concern Yangu , sio Yanga kufungwa kwani huwezi kushinda siku zote , huwezi kuwa bingwa siku zote n.k , Bali concern Yangu kuwepo na dalili Za hujuma kwa baaadhi ya wachezaji kufanya makosa au uzembe uliopelekea magoli ya Simba Na Zaidi ya hapo wao Yanga kushindwa kuongeza bao la pili au Zaidi kabla ya hapoBongo haikosi visingizio. Na yanga ingeshnda tungesemaje? acha uzuzu!