Kushindwa kwa Yanga ni hujuma/siasa

Kushindwa kwa Yanga ni hujuma/siasa

Mods kwa kuruhusu uandishi kama huu mnasaidia kuishushia heshima Jf.
 
Tiny ya Dar Yanga Africans hivi karibuni ulitokana sare na tiny ya Comoros Baada ya Kunigunda Timi hiyo ya Comoros goal 5-0 huko Comoros , Lakini mechi ya marudiano hapa hapa Nyumbani Timi hizo zilitoka sare .
Na hii ni Baada ya kiongozi wao moja a unfashionable kutoka ndano kwa masuala Yake Binfsi/ yakibiashara.
Baada ya Hapo kulifuatiwa naMechi na watano wao ea jadi Simba sports club. 25/02/2017 ambayo Yanga walipata goal la mapemana kuweza kuutawala mpira kwa muda mrefu bila kuwa na Nia ya kufunga magoli Zaidi na hata pale Mchezaji wa Simba alipotolewa nje kwa jadi nyekundu na Simba wakiwa nyumba kwa Goal moja , bado uchezaji wa Timu ya Yanga haukuwa na Mia ya dhati ya kushinda pambano Hilo na hii inajidhihirisha na uchezaji wao wa kukaribisha mashambulizi golini kwao ambao ulileteleza goal la kusawazisha na goal la ushindi

Da!! Nimeshindwa kuendelea kusoma
 
That's football. Mpira umechezwa uwanjani,wachezaji wamecheza kadri ya uwezo wao.Tukubali matokeo.
Lazima tuwapongeze Simba kuanzia washabiki,wanachama,wachezaji,benchi la Ufundi na viongozi wao kwa umoja,uvumilivu,subira na kutokata tamaa ambako kulitokana na upambanaji tangu walipokuwa nyuma kwa goli moja la Yanga.
Omog na Mayanja,wameonesha ueledi wa hali ya juu kwa kutake risk ya sub ambazo kama Simba wangefungwa,asingeeleweka na walio wengi.
Yanga kubalini matokeo badala ya kupakana matope na kutafuta mchawi.
Van Gaal
 
Unatetemeka sana una madawa ya kulevya kwenye keyboard yako?

Pili hizo siasa mbona hujaziweka hapo kwenye uzi.
 
That's football. Mpira umechezwa uwanjani,wachezaji wamecheza kadri ya uwezo wao.Tukubali matokeo.
Lazima tuwapongeze Simba kuanzia washabiki,wanachama,wachezaji,benchi la Ufundi na viongozi wao kwa umoja,uvumilivu,subira na kutokata tamaa ambako kulitokana na upambanaji tangu walipokuwa nyuma kwa goli moja la Yanga.
Omog na Mayanja,wameonesha ueledi wa hali ya juu kwa kutake risk ya sub ambazo kama Simba wangefungwa,asingeeleweka na walio wengi.
Yanga kubalini matokeo badala ya kupakana matope na kutafuta mchawi.
Van Gaal
Good, fikra pevu.
 
Tiny ya Dar Yanga Africans hivi karibuni ulitokana sare na tiny ya Comoros Baada ya Kunigunda Timi hiyo ya Comoros goal 5-0 huko Comoros , Lakini mechi ya marudiano hapa hapa Nyumbani Timi hizo zilitoka sare .
Na hii ni Baada ya kiongozi wao moja a unfashionable kutoka ndano kwa masuala Yake Binfsi/ yakibiashara.
Baada ya Hapo kulifuatiwa naMechi na watano wao ea jadi Simba sports club. 25/02/2017 ambayo Yanga walipata goal la mapemana kuweza kuutawala mpira kwa muda mrefu bila kuwa na Nia ya kufunga magoli Zaidi na hata pale Mchezaji wa Simba alipotolewa nje kwa jadi nyekundu na Simba wakiwa nyumba kwa Goal moja , bado uchezaji wa Timu ya Yanga haukuwa na Mia ya dhati ya kushinda pambano Hilo na hii inajidhihirisha na uchezaji wao wa kukaribisha mashambulizi golini kwao ambao ulileteleza goal la kusawazisha na goal la ushindi
Mwandiko huo kaka kizungumkuti
 
Uandishi huu ni bora ukarudi darasani ukajifunze kuandika kitu kinachoeleweka. Mnatuchosha na post zenu zisizo eleweka.
 
Nimeisha waeleza Tatizo ni dictionary ya kwenye Chombo ninacho tumia kwamba ukiandika mfano timu yenyewe Ina predict neno kuwa Tiny Sasa nyinyi post ndalichako mmekazia Hapo Hapo kwa hiyo mwenye tatizo sio Mimi Bali ni wewe mwenye kushindwa kuelewa
 
Bongo haikosi visingizio. Na yanga ingeshnda tungesemaje? acha uzuzu!
In general concern Yangu , sio Yanga kufungwa kwani huwezi kushinda siku zote , huwezi kuwa bingwa siku zote n.k , Bali concern Yangu kuwepo na dalili Za hujuma kwa baaadhi ya wachezaji kufanya makosa au uzembe uliopelekea magoli ya Simba Na Zaidi ya hapo wao Yanga kushindwa kuongeza bao la pili au Zaidi kabla ya hapo
 
Mtachanganyikiwa sana safari hii bado sisi Azam lazima tuwaminye tena hapo panapouma mana Mwenzio Simba aliyekujeruhi jana tulifinya zile ndude
 
Jamaa kaongea ukweli ....matatizo ya Manji ni kukomoana na yameathiri timu....wakuu wa nchi simba unategemea nini...kuna muhindi gani asiyekuwa na passport mbili....anyways imeshatokea ..."hatukuwa na motivation"captain Haruna Niyonzima alisema baada ya mechi kumalizika ....wajuvi wa mambo tumemuelewa.....
 
Back
Top Bottom