Kushindwa na kuanguka ndio njia pekee ya kufanikiwa.

Kushindwa na kuanguka ndio njia pekee ya kufanikiwa.

Pendaelli

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2014
Posts
11,050
Reaction score
31,412
Asilimia 70 na zaidi ya watu wote wanaofutila siasa za Marekani wamefurahishwa na ushindi wa Trump, hata mataifa hasimu ya Marekani yamefurahishwa sana na ushindi huo.

Pongezi ni kwa Trump, lakini tuna la kujifunza sote katika maisha maisha yetu ya kawaida

Pamoja na Trump na wengi tunaowasoma na kuwasikia na kuwaona walio wahi kushindwa katika kitu chochote kisha wakanza tena wote walifanikiwa kwa kiwango kikubwa sana na kuacha athari chanya katika jamii yao taifa na dunia kwa ujumla.

Nimejifunza tena kwamba kwenye kushindwa ndiko sehemu pekee yenye uhakika wa kushinda, tusikate tamaa na kushindwa kwa namna yoyote, tusikate tamaa na anguko lolote, hata kama vizuizi ni vingi kiasi gani.
 
Back
Top Bottom