Kushiriki chakula na familia: Ushauri kutoka kwa Teamo

no no no mkuu.....!

you need time at home

trust me ina saikolojiko impact kubwa sana hiyo ratiba HASA KWA THAT CUTE DAUGHTER OF YOURS

saikolojiko impact tunaipenda, lakini serengeti vuguvugu barafu ya moyo
 
UGALI KIBUA kwa watoto, BIA kwa BABA:israel::israel::israel:
Kunywa bia BAA .....NYUMBANI HAIPANDI!!
hahahahahaaa! habari yake kibua!!!!
Unaweza kula kisanvu na valuu??
Kama them wives waanaweza kupika dinner la kitu cha Paya, kongoro au Mkia then tutaelewana.
 
Habari ya kuwahi nyumbani kaka zangu.
Basi kama ndo mnasema huyu Kaka angu anasema, fuata maneno lakini si matendo.

Lakini SHETANI AKIZEEKA ANAKUWA MALAIKA.
Sasa hivi MMU imepata malaika mpya TEAMO.

Naombeni niwe timekeeper wenu, sijui TIMEWATCHER kwa kila kikao chenu.
Hata kwa bluetooth, lazima mtawahi ubwabwa tu.

Ukitaka ugomvi basi introduce ishu ya kuondoka mapema wakati wa mikao.....
 
Hivi ukiwa umeoa halafu ukawa unakula na mkeo dinner mahali huku mnapata ndovu za kopo (siku nne kwa wiki), je nayo itakuwa ni kula na familia?

GY kuna ubaya gani ukinunua hizo bia nne ukazinywa mkiwa nyumbani pembeni uko na ubani wako, halafu huwa mnawapunja sana watoto chukua na soda rudi nyumbani mapema uenjoy na watoto wako jamani watoto waone soda xmass, nu iya, pasaka, idi its not fair.

Kunywa bia .....maji yana bakteria!!

Unaweza kula ubwabwa na bia? yani unakula ubwabwa the you chase them pieces of fish and rice down with a cold senge.....inawezekana kweli?

Ha ha ha sijui leo umeamkia wapi????
 
GY kuna ubaya gani ukinunua hizo bia nne ukazinywa mkiwa nyumbani pembeni uko na ubani wako, halafu huwa mnawapunja sana watoto chukua na soda rudi nyumbani mapema uenjoy na watoto wako jamani watoto waone soda xmass, nu iya, pasaka, idi its not fair.

Hivi familia lazima kuwe na watoto eee?
 
hahahahahah!
kwenye hiyo statement kuna utata mkubwa sana kama ifuatavyo:

1-mimi ni SHETANI,which means ASPRIN,ST RR,BIGIRITA,GY,DA na MMU WENGINE WOTE WANAOPINGANA NA HII MAKITU NI MASHETANI..

2-kwamba mimi ni SHETANI niliezeeka na nimeandagoo mutation nimekuwa malaika

MY TAKE:mimi sio SHETANI,na viongozi wangu hapo kati HAWAWEZI KUWA MASHETANI.hapa tunabishana kwa hoja na kutofautiana misimamo tu...nakupa dakika kumi ukaisahihishe kauli yako

Taratibu unaanza kurudi kwenye sense zako.

LD am counting.............!
 
UGALI KIBUA kwa watoto, BIA kwa BABA:israel::israel::israel:
Kunywa bia BAA .....NYUMBANI HAIPANDI!!
hahahahahahahahah!
dah!
vijana mnatisha kwa hoja
 
GY kuna ubaya gani ukinunua hizo bia nne ukazinywa mkiwa nyumbani pembeni uko na ubani wako, halafu huwa mnawapunja sana watoto chukua na soda rudi nyumbani mapema uenjoy na watoto wako jamani watoto waone soda xmass, nu iya, pasaka, idi its not fair.

Kama huna watoto?
 
Taratibu unaanza kurudi kwenye sense zako.

LD am counting.............!
MSISITIZO:Tujijengee karatiba ka kukaa na vijifamilia vyetu home kwa dinner japo mara tatu kwa wiki
 
hahahahahah!
kwenye hiyo statement kuna utata mkubwa sana kama ifuatavyo:

1-mimi ni SHETANI,which means ASPRIN,ST RR,BIGIRITA,GY,DA na MMU WENGINE WOTE WANAOPINGANA NA HII MAKITU NI MASHETANI..

2-kwamba mimi ni SHETANI niliezeeka na nimeandagoo mutation nimekuwa malaika

MY TAKE:mimi sio SHETANI,na viongozi wangu hapo kati HAWAWEZI KUWA MASHETANI.hapa tunabishana kwa hoja na kutofautiana misimamo tu...nakupa dakika kumi ukaisahihishe kauli yako
Shetani mzee..........mchana nenda kula na familia.........wanapika matembele, michuzi ya nyama ya ng'ombe na ugali.
 
Kumbe change is possible, naona Teamo kasharudi kwenye senses zake, no more inf i would say. wapi xpin mwaka wa mabadiliko huu.
 
Nipo hapa binamu:

Carmel nakupenda, lakini bia inaukwaza moyo.
 
Hivi familia lazima kuwe na watoto eee?

Kama huna watoto?

ninyi vijana bana jaribuni kumuelewa dada pale juu

familia ni familia tu

pale home lazima kuna mtu au watu utakuwa unaish nao tu (be it beki tatu,house boy,mtoto wa brazaako au anybody)...consider them as your kids na wapelekeeni soda

ninyi mnatafsiri tofauti sana kuhusu watoto
 
Kumbe change is possible, naona Teamo kasharudi kwenye senses zake, no more inf i would say. wapi xpin mwaka wa mabadiliko huu.
kwa maneno rahisi ni kwamba yeye ni shetani mzee.
 
Back
Top Bottom