GY
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 1,279
- 126
Naanza leo: Usinitafute jioni!
Hata mimi msinitafute, nimuwahi mwanangu, mama yake na kibua
Mimi ntakuwa nakula nao ijumaa, jumamosi na jumapili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naanza leo: Usinitafute jioni!
hahahaha St. wewe!!Wahi wa jirani....si imeandikwa mpende jirani yako.........
hahahahah....halafu kwa jirani palipo na watoto kuna grosari!
ninyi vijana bana jaribuni kumuelewa dada pale juu
familia ni familia tu
pale home lazima kuna mtu au watu utakuwa unaish nao tu (be it beki tatu,house boy,mtoto wa brazaako au anybody)...consider them as your kids na wapelekeeni soda
ninyi mnatafsiri tofauti sana kuhusu watoto
Yani issue ni soda?ninyi vijana bana jaribuni kumuelewa dada pale juu
familia ni familia tu
pale home lazima kuna mtu au watu utakuwa unaish nao tu (be it beki tatu,house boy,mtoto wa brazaako au anybody)...consider them as your kids na wapelekeeni soda
ninyi mnatafsiri tofauti sana kuhusu watoto
hahahahahahahahahah!Hata mimi msinitafute, nimuwahi mwanangu, mama yake na kibua
Mimi ntakuwa nakula nao ijumaa, jumamosi na jumapili
Hata mimi msinitafute, nimuwahi mwanangu, mama yake na kibua
Mimi ntakuwa nakula nao ijumaa, jumamosi na jumapili
Yani kibua na tembele ni sehemu ya familia.Hata mimi msinitafute, nimuwahi mwanangu, mama yake na kibua
Mimi ntakuwa nakula nao ijumaa, jumamosi na jumapili
Kama kisingizio ni kupikiwa vibua na mchuzi ya nyama na tembele ndo maana mnaishia bar, shirikini na wake zenu kutengeneza ratiba ya chakula kwa kila mwezi kitakachowawezesha kuvutiwa kula home, na mchangie ipasavyo financially, siyo unataka kula kuku wa kienyeji huku unaacha buku mbili home, matokeao yake unapikiwa tembele au unasepa kula vilivyokaangwa bar. shame.
ewaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!Kama kisingizio ni kupikiwa vibua na mchuzi ya nyama na tembele ndo maana mnaishia bar, shirikini na wake zenu kutengeneza ratiba ya chakula kwa kila mwezi kitakachowawezesha kuvutiwa kula home, na mchangie ipasavyo financially, siyo unataka kula kuku wa kienyeji huku unaacha buku mbili home, matokeao yake unapikiwa tembele au unasepa kula vilivyokaangwa bar. shame.
hahahahahah!
kwenye hiyo statement kuna utata mkubwa sana kama ifuatavyo:
1-mimi ni SHETANI,which means ASPRIN,ST RR,BIGIRITA,GY,DA na MMU WENGINE WOTE WANAOPINGANA NA HII MAKITU NI MASHETANI..
2-kwamba mimi ni SHETANI niliezeeka na nimeandagoo mutation nimekuwa malaika
MY TAKE:mimi sio SHETANI,na viongozi wangu hapo kati HAWAWEZI KUWA MASHETANI.hapa tunabishana kwa hoja na kutofautiana misimamo tu...nakupa dakika kumi ukaisahihishe kauli yako
Yani kibua na tembele ni sehemu ya familia.
Bia na eliza sio sehemu ya familia?
hahahaha St. wewe!!
Mkubwa umenikumbusha.........kuna siku nilirudi home na kitu cha miguu ya mbuzi na kichwa kizima....nikasema dinner langu liwe supu ya hii makitu! nikaambiwa si ukanywe huko bar?Hata mkishirikiana vipi kupata supu ya kongoro nyumbani ngumu banaaaa....au ugali kokoto
Baada ya kusoma bandiko lako Teamo nimelifanyia utafiti wa KIINTELIJENSIA na kugundua kuwa familia maana yake ni BMW-BABA MAMA NA WATOTO. Ijulikane kuwa meza/dinner inapomkosa yeyote kati ya hao basi lazima wanaobakia wajiulize yuko wapi, especially kama sababu za kukosekana huko haziko bayana au hazitoshelezi...tunayo nafasi ya kuondoa masononeko yasiyo ya lazima kwa naniliu wetu..
Hawa jamaa ni wabaguzi sana. makabaila wa familia.Umeona eh? wakati tumeambiwa tuwapende mpaka maadui zetu, tuwatembelee yatima na wajane..... Hivi kula na Eliza si kula na familia?
Ukitaka ugomvi basi introduce ishu ya kuondoka mapema wakati wa mikao.....