Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Unajua hata kusali tunaweza kusalia nyumbani, ila msikitini na kanisani kuna raha yake
Tukienda ZERO pub tunahudumiwa na Eliza, kwanza bia inakuwa tamu zaidi, halafu tunakuwa tumetoa ajira kwa Eliza na mangi wa jikoni
hii ni kisera zaidi
Ukizingatia prezidaa aliahidi ajira kwa mamilioni.
Kunywa bia, tengeneza ajira.....piga vita umasikini.