Kushiriki chakula na familia: Ushauri kutoka kwa Teamo

Kushiriki chakula na familia: Ushauri kutoka kwa Teamo

Unajua baada ya sikukuu za mwisho wa mwaka, tarehe kama hizi ni vema tu ukajiwhia nyumbani kula na familia, kwakweli hua ni tarehe ngumu sana...na hapo ndipo ninapouchukia mshahara

I wish kungekuwa na 'BABY COME BACK' ya mshahara

Bia tamu kushinda mshahara jamani

Hahahahaha!When you make that baby leave, you have to work hard to get her back!Mtunze uone kama utamkosa!
 
Mabadiliko ya tabia nchi yametufanya sasa tubadili mfumo wetu wa maisha uwe hivi

From: ORDINARY PLACE, DRINKING ORDINARY DRINKS WITH ORDINARY PEOPLE

To: ORDINARY HOME, EATING THEM ORDINARY KIBUA WITH THE ORDINARY FAMILY
hahahahahaaaa!!! ohooooo......yeyoooooo
Pare pareee..............na ware waree, ........muhudumu yure yuree
 
hahahahahaaaa!!! ohooooo......yeyoooooo
Pare pareee..............na ware waree, ........muhudumu yure yuree

Mida ire ire....biya ire ire....munyama yure yure.........famiria vire vireeeeeeeeee!

TUNAPAREEEEEEEE!
 
Back
Top Bottom