Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe utakaa na wageni waalikwa upande wa mashemeji!Noted..........
babe come this way.
Hiyo itakua ngumu kutekeleza!mwambie huyo dada hapo kati arudishe posa ya mchungaji ili muendelee kwenye next stage ya UFUFUO
As far as inspector mimi nimeshakagua inspectee wewe..........tutakuwa even na huyo atakayekaa kwenye jukwaa.Na wewe utakaa na wageni waalikwa upande wa mashemeji!
ndo tunailainisha sasa...........hata Tambwe hiza alihamia NCCR Mageuzi, akasema siku atakayorudi CCM amlale mama yakeHiyo itakua ngumu kutekeleza!
Wapi?Meseji senti.
As far as inspector mimi nimeshakagua inspectee wewe..........tutakuwa even na huyo atakayekaa kwenye jukwaa.
hata twanga pepeta huwa wanakaa majukwaani.
babe, come this way
We mchokozi kweli!!Haya endelea kunipiga sound!ndo tunailainisha sasa...........hata Tambwe hiza alihamia NCCR Mageuzi, akasema siku atakayorudi CCM amlale mama yake
Lakini sasa hivi amerudi CCM.
Babe, come this way.
We mchokozi kweli!!Haya endelea kunipiga sound!
Sijui Emmy ameshaingia kaunta? Hebu ni-mbep Mama Kayayii!
aisee wapwaaz zoezi nimelianza kwa ari nguvu na kasi ZAIDI.....!
nimewasha tukutuku hapa mbiyooo mpaka BUNJU kushiriki chakula cha mchana na mama g pale ndo nimerudi sasa.....!
NDOA ZINA RAHA YAKE JAMANI!
MAKOFI KWANGU TAFADHALI
Shetani mzee..........mchana nenda kula na familia.........wanapika matembele, michuzi ya nyama ya ng'ombe na ugali.
Hahahahaha!Sikuwezi!Kweli wewe ndie BiGi..ze wani endi ze onli!
aisee wapwaaz zoezi nimelianza kwa ari nguvu na kasi ZAIDI.....!
nimewasha tukutuku hapa mbiyooo mpaka BUNJU kushiriki chakula cha mchana na mama g pale ndo nimerudi sasa.....!
NDOA ZINA RAHA YAKE JAMANI!
MAKOFI KWANGU TAFADHALI