Kushiriki chakula na familia: Ushauri kutoka kwa Teamo

Habari yangu binafsi ya kibua bana!!!
Unataka niripe? yani niripie shkamo?
mwambie huyo dada hapo kati arudishe posa ya mchungaji ili muendelee kwenye next stage ya UFUFUO
 
Na wewe utakaa na wageni waalikwa upande wa mashemeji!
As far as inspector mimi nimeshakagua inspectee wewe..........tutakuwa even na huyo atakayekaa kwenye jukwaa.

hata twanga pepeta huwa wanakaa majukwaani.

babe, come this way
 
Hiyo itakua ngumu kutekeleza!
ndo tunailainisha sasa...........hata Tambwe hiza alihamia NCCR Mageuzi, akasema siku atakayorudi CCM amlale mama yake
Lakini sasa hivi amerudi CCM.

Babe, come this way.
 
As far as inspector mimi nimeshakagua inspectee wewe..........tutakuwa even na huyo atakayekaa kwenye jukwaa.

hata twanga pepeta huwa wanakaa majukwaani.

babe, come this way

Hahahahaha!Sikuwezi!Kweli wewe ndie BiGi..ze wani endi ze onli!
 
ndo tunailainisha sasa...........hata Tambwe hiza alihamia NCCR Mageuzi, akasema siku atakayorudi CCM amlale mama yake
Lakini sasa hivi amerudi CCM.

Babe, come this way.
We mchokozi kweli!!Haya endelea kunipiga sound!
 
aisee wapwaaz zoezi nimelianza kwa ari nguvu na kasi ZAIDI.....!

nimewasha tukutuku hapa mbiyooo mpaka BUNJU kushiriki chakula cha mchana na mama g pale ndo nimerudi sasa.....!

NDOA ZINA RAHA YAKE JAMANI!

MAKOFI KWANGU TAFADHALI
 
Bunju??? Huko si ni Bagamoyo halafu umerudi town wewe kiboko!!
 
aisee wapwaaz zoezi nimelianza kwa ari nguvu na kasi ZAIDI.....!

nimewasha tukutuku hapa mbiyooo mpaka BUNJU kushiriki chakula cha mchana na mama g pale ndo nimerudi sasa.....!

NDOA ZINA RAHA YAKE JAMANI!

MAKOFI KWANGU TAFADHALI

NDOA ZINA RAHA YAKE JAMANI!

Hata iweje leo mimi 'familia na kibua kwanza'

Unalipia shkamooooo............hahahahahahah
 
Back
Top Bottom