no no no mkuu.....!
you need time at home
trust me ina saikolojiko impact kubwa sana hiyo ratiba HASA KWA THAT CUTE DAUGHTER OF YOURS
Fuata matendo yetu usifuate maneno yetu.
hahahahahaaa! habari yake kibua!!!!UGALI KIBUA kwa watoto, BIA kwa BABA:israel::israel::israel:
Kunywa bia BAA .....NYUMBANI HAIPANDI!!
Habari ya kuwahi nyumbani kaka zangu.
Basi kama ndo mnasema huyu Kaka angu anasema, fuata maneno lakini si matendo.
Lakini SHETANI AKIZEEKA ANAKUWA MALAIKA.
Sasa hivi MMU imepata malaika mpya TEAMO.
Naombeni niwe timekeeper wenu, sijui TIMEWATCHER kwa kila kikao chenu.
Hata kwa bluetooth, lazima mtawahi ubwabwa tu.
Hivi ukiwa umeoa halafu ukawa unakula na mkeo dinner mahali huku mnapata ndovu za kopo (siku nne kwa wiki), je nayo itakuwa ni kula na familia?
Kunywa bia .....maji yana bakteria!!
Unaweza kula ubwabwa na bia? yani unakula ubwabwa the you chase them pieces of fish and rice down with a cold senge.....inawezekana kweli?
GY kuna ubaya gani ukinunua hizo bia nne ukazinywa mkiwa nyumbani pembeni uko na ubani wako, halafu huwa mnawapunja sana watoto chukua na soda rudi nyumbani mapema uenjoy na watoto wako jamani watoto waone soda xmass, nu iya, pasaka, idi its not fair.
hahahahahah!
kwenye hiyo statement kuna utata mkubwa sana kama ifuatavyo:
1-mimi ni SHETANI,which means ASPRIN,ST RR,BIGIRITA,GY,DA na MMU WENGINE WOTE WANAOPINGANA NA HII MAKITU NI MASHETANI..
2-kwamba mimi ni SHETANI niliezeeka na nimeandagoo mutation nimekuwa malaika
MY TAKE:mimi sio SHETANI,na viongozi wangu hapo kati HAWAWEZI KUWA MASHETANI.hapa tunabishana kwa hoja na kutofautiana misimamo tu...nakupa dakika kumi ukaisahihishe kauli yako

Shetani mzee..........mchana nenda kula na familia.........wanapika matembele, michuzi ya nyama ya ng'ombe na ugali.hahahahahah!
kwenye hiyo statement kuna utata mkubwa sana kama ifuatavyo:
1-mimi ni SHETANI,which means ASPRIN,ST RR,BIGIRITA,GY,DA na MMU WENGINE WOTE WANAOPINGANA NA HII MAKITU NI MASHETANI..
2-kwamba mimi ni SHETANI niliezeeka na nimeandagoo mutation nimekuwa malaika
MY TAKE:mimi sio SHETANI,na viongozi wangu hapo kati HAWAWEZI KUWA MASHETANI.hapa tunabishana kwa hoja na kutofautiana misimamo tu...nakupa dakika kumi ukaisahihishe kauli yako
Kama huna watoto?
MSISITIZO:Tujijengee karatiba ka kukaa na vijifamilia vyetu home kwa dinner japo mara tatu kwa wiki
Asante, naona unaendelea kupunguza siku za kukaa na familia.MSISITIZO:Tujijengee karatiba ka kukaa na vijifamilia vyetu home kwa dinner japo mara tatu kwa wiki
Wahi wa jirani....si imeandikwa mpende jirani yako.........
Kumbe change is possible, naona Teamo kasharudi kwenye senses zake, no more inf i would say. wapi xpin mwaka wa mabadiliko huu.
Hivi familia lazima kuwe na watoto eee?
Kama huna watoto?
kwa maneno rahisi ni kwamba yeye ni shetani mzee.Kumbe change is possible, naona Teamo kasharudi kwenye senses zake, no more inf i would say. wapi xpin mwaka wa mabadiliko huu.