Kushiriki chakula na familia: Ushauri kutoka kwa Teamo

Kushiriki chakula na familia: Ushauri kutoka kwa Teamo

Dada hebu angalia huu mchanganuo hapa chini kama nilivouainisha. Teamo ni muumini mzuri wa hii ratiba:
SASA HAPO PA KWENDA SHAMBA HAPO.........!tunaweza kupaedit....tusiende hiyo siku nyingine then twende jumapili baada ya ibada for some two hours,

use the day i have withdrawn myself KUPITIA PITIA HOMEWORK ZA MATESHA na kumfundisha kalikulas JANE na kushiriki nao lunch,then utaniambia
 
Hakuna cha panadol wala nini MABADILIKO YANAWEZEKANA.

Kwanini uishi kama mkimbizi kwenye nyumba yako mwenyewe??
umeona eeh!
LILYFLOWER KULA TANO

yani unaifanyeje nyumba kuwa NAMNANI/MWAROBAIN/KAPONGO.....?(you go in late night and go out very early)
 
Habari zenu binafsi?!....

Awali ya yote napenda sana kumshukuru sana MAANANI,kwani ni yeye pekee anaetuweka mimi na wewe DUNIANI.Natumia Fursa hii adimu kuwashukuru sana wetu mimi na wewe WAZAZI,kwa kazi ngumu ya kutuleta sisi DUNIANI

STRAIGHT KWENYE HOJA:
TEAMO anawashauri wakina baba wenye familia zenu kujijengea tabia ya KUSHIRIKI chakula cha pamoja na FAMILIA walau mara nne kwa wiki (MSISITIZO:walau mara nne kwa wiki).Wikileaks imegundua kwamba manung'uniko ya hapa na pale ya WAKE ZETU yanachangiwa sana na ''ushiriki finyu'' wa chakula cha pamoja na familia.

TEAMO anawapenda sana na anazijali sana ndoa zenu ndio maana anasema kupunguza kutokuelewana kwa hapa na pale katika familia tujaribu kushiriki pamoja na mama na watoto walau hata DINNER tatu kwa wiki na LUNCH moja weekend.

TEAMO anaamini kwamba wakati mwingine MAPENZI NA FAMILIA ZETU huamshwa na kuanzia mezani.kwa kufanya hivi tutajipunguzia possibilities za kujilimbikizia infiiz ''unnecessarily''.Tutawafanya wake zetu kuwa MIPANGO YOTE,yaani mpango mzima na mpango wa kando anakuwa yeye mwenyewe...

TEAMO IS STANDING TO BE CORRECTED

Yours' Sincerely,
TEAMO aka BABA G

The Following 15 Users Say Thank You to Teamo For This Useful Post:

Asprin (Today), Baba_Enock (Today), bacha (Today), Bigirita (Today), GY (Today), Kimey (Today), LD (Today), Lily Flower (Today), Mkeshahoi (Today), Pearl (Today), Pretty (Today), Smiles (Today), St. RR (Today), The Finest (Today), WiseLady (Today)

fuata matendo yetu usifuate maneno yetu
 
Katika wiki kuna siku saba tafuta siku moja icross out na weka reminder kwenye kilongalonga hakuna kwenda mahali zaidi ya nyumbani, at the same time tafuta alternative road ya kukuwezesha kufika nyumbani mapema usisingizie foleni.
Lili Flawa narudia tena: Soma hii ratiba ambayo Teamo ni muumini wake mkuu.

Hahahaha

Haya:
Leo unakuwa na marafiki wa JF...wanywa bia na kitimoto
Kesho unakutana na marafiki majirani: Wanywa bia na mbuzi choma
Keshokutwa unakutana na maskulimeti: Wanywa konyagi na makongoro
Siku inayofuata zamu ya Infii: Bia, maini na kitanda
Then unakutana na workmates: Bia, porojo, blah blah, mkia
Siku nyingine twenzetu shamba...unakutana na Acid na Teamo....bia, poo table nyama
Siku nyingine..........

Hivyo hivyo unajikuta wiki imekata. Kina mama wanalazimika kutusamehe na kutuelewa.
Tuna ratiba ngumu sana.

umeona eeh!
LILYFLOWER KULA TANO

yani unaifanyeje nyumba kuwa NAMNANI/MWAROBAIN/KAPONGO.....?(you go in late night and go out very early)
 
haha hahahha hahahaaa wapokea simu mdau mmoja anakusubr tegeta mwngne charambe
infii kgambon anakungoja....ukimaliza mizunguko sa 4 usiku...warud hom hoooooooooooooiiiiii
Umeonaeee!!!
huyo ni mtu mmoja...........nimpitie FL twende tegeta coz Asprin na Teamo wanatungoja, The Finest yupo town anasema nimngoje akapaki tukutuku ili twende na tukutuku moja, GY analazimisha twende extraordinary place kunywa bia mbili kwanza wakati tunamngoja TF, Dena Amsi anapiga cm anasema yupo Magomeni anakuja, anakaa masaa mawili hafiki..........Bacha naye anasema anakuja lakini hafiki.........safari ya tegeta inaahirishwa.
tunahamia JJ, eliza anasema hakuna the finest scotch whisky..........Teamo yupo njiani anakuja, tunampigia apite Mlimani city aje na kitu cha whisky.

NITARUDI.
 
HALAFU NI 24/7.....4weeks....52weeks

TOO BAD
 
Weupe nawapenda, lakini weusi ni dawa ya moyo........mama Bigirita....en'route to Dar.

KULA NA FAMILIA TUNAPENDA, LAKINI BIA BARAFU YA MOYO!
 
Weupe nawapenda, lakini weusi ni dawa ya moyo........mama Bigirita....en'route to Dar.

KULA NA FAMILIA TUNAPENDA, LAKINI BIA BARAFU YA MOYO!
hahahahaa! na mioyo yetu ni ya moto, tunapenda kupoza kwa barafu!
 
Weupe nawapenda, lakini weusi ni dawa ya moyo........mama Bigirita....en'route to Dar.

KULA NA FAMILIA TUNAPENDA, LAKINI BIA BARAFU YA MOYO!
HHAHAHAHAHA!
sasa biya zenyewe inatakiwa ziwe ZA BARIDI SANA au?

halaf hao wanaukunywa ''vischana''?
 
aisee we mutu, mwenye hiyo id akikukutaaaa
hahahahahahahah!
wee bana dah!

YESU NI BABAAA YANGU ASIYESHINDWAAA KAAAMWEEEE
NINA BABAAA YANGU ASIYESHINDWA KAAAMWEEEEEEE
 
Back
Top Bottom