Kushiriki tendo kipindi cha uzazi hakuna madhara yoyote

hamza mahundu

Member
Joined
Dec 20, 2018
Posts
58
Reaction score
116
"Epuka Imani Potofu, Epuka Imani Potofu"

Usimkatae mwanao pindi atakapo zaliwa na white stuff, Wengi wanafikiria kwamba hutokana na kamwagiwa ndani katika kipindi cha Ujauzito,

Nikutoe hofu, Kitaalamu hujulikana kama "Vernix Caseosa" Ni hali ya kawaida na hutokea kwa wanawake wachache sana,

NB: Hakuna uhusiano katika ya white stuff kwa mtoto na tendo, Kumbuka kushiriki tendo kipindi cha uzazi hakuna madhara yeyote...✍
 
Heee kuna watu wanawakataa watoto wao kwa sababu hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…