Kushtua gari ya automatic

Mkuu Off The Topic., hivi inawezekana kuweka USB port kwenye gari ambayo haina???

ndio mkuu inawezekana.
kuna aina mbili hapo.unaweza ukawekea kiberiti.

au ukanunua socket ambayo huwa inakuwa na sehem za chaji za simu inakuwa na sehem kama 4 hivi kwahiyo ni uamuzi wako tuu.

ila ile ya kiberiti cha gari ndio huwa inakuwa nzuri kunasehem ukiiweka huwa inatulia na kuwa kama original yake uzuri upatikanaji wa viberiti ni rahisi sana.
 
Mkuu niko off topic kidogo, kuna hii Gari mazda rx8 nataka kuinunua lkn naona engine yake ni rotary engine yani haina piston, mkuu unazoefu wowote na Gari zenye engine ya dizaini hii labda mapungufu yake na vitu vingine mkuu
 
shida yako kubwa ni kwamba majaribio yote ulifanya gari iliwa inatembea.. swala ni gari uliyoipaki na unataka kuishtua utaanza vipi ili ufanikiwe... kumbuka ugumu wa kusukuma gari ikiwa kwenye D hadi upate hizo speed 20 hadi 40
 
tatizo wabongo Maneno mengi. kama inawezekana kushtua eleza kwa namna gani. kama haiwezekani mseme, Maneno mengi ya nini?
 
mkuu sasa kama gari linatembea yanini ushitue?? tunataka gari iliyopaki tuiwashe
 
hiki unachokisema sio kushtua gari sasa, kushtua gari ni pale linakuwa limezima na halitembei then unaliwasha kwa kutumia motion bila kutegemea nguvu ya betri kwenye starter.....KWA HIYO MKUU USIJE UKAJISIFU ATI UMESHTUA GARI YA AUTOMATIC
 
nguvu ya betri hata kwenye gari manualy huwa lazima iwepo mkuu.

kama utaweza pata nguvu au utaweza lisukuma mpaka kupata speed kubwa lazima litawaka tuu.

sijawahi kupata gari ya kuvuta nikalivuta lakini siku nikipata nitatafuta gari nalivuta likiwa kwenye D then naweka switch ON
 
shida yako kubwa ni kwamba majaribio yote ulifanya gari iliwa inatembea.. swala ni gari uliyoipaki na unataka kuishtua utaanza vipi ili ufanikiwe... kumbuka ugumu wa kusukuma gari ikiwa kwenye D hadi upate hizo speed 20 hadi 40

kwahiyo unakubaliana na.mimi kuwa zikipatikana.nguvu za kutosha au ukalivuta kwa gari nyingine litawaka??
 
kilichotengenezwa na binadamu akishindwi na mwanadamu
 
cku unalivuta hilo gari ili ulishtue naomba uwe umejiandaa kabsa kufanya matengenezo kwny gear box...
 
cku unalivuta hilo gari ili ulishtue naomba uwe umejiandaa kabsa kufanya matengenezo kwny gear box...

kwanini unasema hivyo mkuu hembu nipe maelezo ya kifundi na nini kitaharibika au uharibifu utakuwaje na utasababishwa na nini?
 
vp gari lililosimama ukataka kuwasha acha hiyo sleed 20 au 40 linawaka
 
Msaada hapo kwa kuchomoa fuel pump na kuiweka on muda wote unaanzia wapi?
 
anajaribu kutuatia nja mbadala wakati wa dharula gari ianweza kukuzimikia porini na kuna wa usukuma why not try? kwa kifupi napngeza kwa ubunifu mm nacukua hizi nondo zake huwezi jua kuna siku zitaniaidia!! Bravo LEGE!

Sawa mkuu chukua tu kama vipi kafanyie kazi ushauri wake sasa hivi kabisa ili ukiwa porini usipate tabu ,Mimi gari automatic sina kazi nayo mkuu
 
Msaada hapo kwa kuchomoa fuel pump na kuiweka on muda wote unaanzia wapi?

ukifungua box fuse utakuta kuna relay imeandikwa fuel pump relay unachokifanya unaichomoa hiyo na kuweka kipande cha waya kwenye pini.

au kama unaweza unabandua mfuniko wa relay na kuweka kitu ili kuifanya contact za relay zibane au unazibanisha machenically.

ila kama unakuwa unazifaham relay haiwezi kukupa shida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…