Kushtua gari ya automatic

Kushtua gari ya automatic

Huyu Lege nimemuelewa sana na kw jinsi alivyo eleza na kwa utaalamu wangu ingawa sijafanya experement naamini itawaka kifupi mi mtu wa IT Nikiaangalia logic z lege gari itawaka kwa logic na wanao sema gar haiwaki wanashidwa toa sababu kwanini haitawaka . Then lege ndio ameanza hapo sabab znaz fanya isiwake .kumbuka hata gari manual haiwaki kwa kushitua mpk ufanye ma utundu kidogo ya kuweka gia kusukuma ndio inawaka na kwa automatic ina utunndu wake ambao ndio mtaalam kaueleza logic ni possible kuwaka . na sababu ni kwamba je ikitokea mazingiea ya porini mko nyikani 200 km kutoka sehemu yenye huduma gari imekatAA KUWASA SABABU BATTERY mfano mlipaki then battery imenyonya haina nguvu za kutosha mko wanaume 5 mfanyaje ili iweze kuwAka na ni Auto
automatic katu haiwaki kwa kusukumwa sababu ndani a giabox na torque converter muna kitv kinaitwa freewheel kazi ake ni kuruhusu engine kuzungusha maringi lakini maringi yasiweze kuizungusha engine kwa maana mzunguko hautoweza kuingia kwenye engine mfano huu upo hata kwenye baskeli yani tunatumia freewheel(fruweli) maringi hayataweza kuizungusha pedal za baskeli(pedel=engine) ila pedel itazungusha maring .jaribu zoezi hili la baskeli utaona namalizia kwa kusema automatic car haziwaki kwa kusukumwa katv kwa sababu hii ya mwanzo anaebisha ajitokeze
 
Kama una gari yako nzuri na imegoma kupiga start kwa ajili ya betri down, achana na mambo ya ujanja ujanja, tafuta mtu aku-boost uwashe kwa self starter, halafu anza mchakato wa kununua betri mpya.

Nakushauri kwa gari automatic haklikisha muda wote unakuwa na waya kwa ajili ya ku-boost incase anayetaka kukusaidia hana waya huo iwe rahisi. Na wakati mwingine gari huja na waya zake toka Japan kwani hilo ni tatizo la kawaida kwa gari automatic na mwelewa hawezi kushindwa kukupa msaada wa kuku-boost.
 
Back
Top Bottom