Githeri tunashida ndugu yagu bora umeliona hilo ccm hawalioni
Hao jamaa huko juu hawana la kuboresha katika elimu, ilikuwa na walimu bora, vifaa na mazingira bora ya elimu
Wanauchungu gani? iwapo fedha ya ufisadi inawasomesha watoto wao shule za viwango kama Fedha, Soni, Kifungiro nk ada ipo juu.
Lengo kubwa lakuwa na elimu duni na kupigia upatu shule za kata ni kuendeleza ya wakoloni, watoto wa wakulima kubakia wapiga kura siku zote kuwachaguwa akina kawawa, makamba, kikwete, mkapa, mwinyi, akina mnauye,kingunge ilikuendeleza utawala wa kifalme.
Haaingii akilini watu kupuuza elimu, unamchukuwa form four Div iv akafundeshe!!!! pumbaf, anafundisha nini huyu hata what is
chemistry hajuwi? wala ya mwenemutapa kindom na akina zwangendaba au mfekane war hajui?????? Utaona waziri anaongea na
kusifia ujinga bungeni, huwa natamani kulia kwa jinsi elimu inavokuwa mishandled.
Tunasema
education is a key for success how? kwa hawa failure teachers????? na sio kwamba hawana akili lakini walipata
elimu ovyo kwa misingi hii hii ya kisiasa. The reason behind our poverty -
poor education cannot be a key for success.