Kushuka kwa Morari pro Russia na Pro Iran

MBYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2020
Posts
366
Reaction score
521
Nimefanya utafiti mdogo wa wamashabiki wa vita na migogoro ulimwenguni nikagundua kushuka kwa morari Kwa pro Rashia na Iran,anguko kubwa lilitokea baada ya westi kuichukua Syria mikononi mwa miungu Yao Rasia na Iran,Pro Rasia na Iran wamebaki wanatetemeka hawajui hatma ya timu zao,baadhi akili zimeanza kukaa saw na kuanza kugundua uwezo mdogo wa kijeshi walio nao miungu Yao

Rasis amekaa anatafakali lakufanya na mabase yake nchini Syria anabaki anachanganyikiwa maana ianonekan waasai wanaelekea west,na yeye mkononi amebaki na mkataba wa kuendesha bandari ya Syria kwa miaka 49 aliyopewa na chawa wake Assad,Je ataendelea kuindesha badari huku akiwalipa westi ushuru? Kichwa kinamiwanga😥🤣🤣
 
putin kubwa jinga tuu...kila siku ni miikwara tu ya eti nitalipua nuclear!, ajaribu sasa aone utamu wakee...haoni west wanamlia timing yeye ...yaani mwaka wa tatu huuu hana lolotee ameishia kuomba msaada jwa kidukuu, naye wanajeshi wake wanadondoka kama nzii pale vitani..sanctions nazo hizoo....ubabe unamponza jamaa mnoo
 
Rasia nguvu zake zote zimeishia Ukraine haweza inuamkono sehemu nyingine ndo maana Asadi wake ameanuliwa kama mkeka yupo naye huko Moscow wanalialia TU🤣🤣
 
Hesabu za Iran zinaenda alivotaka Israel kashindwa Gaza na anataka makubaliano ya mateka,Israel kashindwa Lebanon pia, wanajifarijikwa sryia hawana kingine
 
Upon makini rafiki,nikweli Israeli kashindwa Gaza nani kamshinda hapo kivipi?

Israeli kashindwa Lebanoni?Hezbollah wapo wapi wamewezanini Hezbolaha mbele ya Israeli?

Iran na Rasia wamepoteza Syria na hii inawauma sana kama hujui

Irani kapoteza Kila Kona saivi anatetemeka peke yake yajayo hayaelewi
 
Hesabu za Iran zinaenda alivotaka Israel kashindwa Gaza na anataka makubaliano ya mateka,Israel kashindwa Lebanon pia, wanajifarijikwa sryia hawana kingine
Wewe ndondocha wenzio wamejificha wasionekane kabisa wewe umebinua matako yako juu uku kichwa umekichimbia kwenye mchanga unataka kuwa choma wenzio nini uko walipojificha?
 
Hahaha siku hizi Faiza Foxy anaswali swala 10, hataki mchezo.

Mavita hataki tena mama wa watu.

Russia, kadebweda, Iran kadebweda, Syria ndio wamekuwa kama choo cha stendi, kila mtu anatumia sasa, wale wenye toilet paper wanaingia, wale wenye vikombe vya maji wanaingia, na sisi tunaotumia vipande vya kanga, magunia na makaratasi nasi tunaingia.

Walitutisha na Iran, Mara Russia kumbe walikuwa wanajua ni wataalam wa alkasus tu.
 
Nimefanya utafiti mdogo wa wamashabiki wa vita na migogoro ulimwenguni nikagundua kushuka kwa morari Kwa pro Rashia na Iran,anguko kubwa lilitokea baada ya westi kuichukua Syria mikononi mwa miungu Yao Rasia na Iran,Pro Rasia na Iran wamebaki wanatetemeka hawajui hatma ya timu zao,baadhi akili zimeanza kukaa saw na kuanza kugundua uwezo mdogo wa kijeshi walio nao miungu Yao

Rasis amekaa anatafakali lakufanya na mabase yake nchini Syria anabaki anachanganyikiwa maana ianonekan waasai wanaelekea west,na yeye mkononi amebaki na mkataba wa kuendesha bandari ya Syria kwa miaka 49 aliyopewa na chawa wake Assad,Je ataendelea kuindesha badari huku akiwalipa westi ushuru? Kichwa kinamiwanga😥🤣🤣
Tupo sana ,Mrusi kashamaliza kazi Nato wametepeta,Mwirani anatazama sarakasi za Myahudi hukuakitafakari ujio wa adui yao Mzee Trumpet
 
Mrusi anataka kuyajenga na mmarekani hataki vita,na Trump isha sema atamboda Irani Moja Kwa Moja anasema Joe kamdekeza subiria mziki huo ni mziki mnene wa tembo(elephant dance)
 
putin na makobaz wavoshugulikiwaa sasaa hadi rahaaa mazeee dahh
 
Hivi mmekunywa changaa ni pombe moja hivi inapatikana Kenya ukinywa lazima unye. Iran kisha sema Syria kuangukia kwa waasi hakutavuruga harakati zake anachotaka kufanya Syria pasikalike kwa kuamsha wazawa wapiganie kuna wanajeshi wenye moyo safi wa Syria waliokimbilia Iraq zaidi ya laki 7, hao pamoja na vijana wengine wa Syria kutawaka tu ni suala la muda na pesa. Iran wanaisubiri kete ya Trump January ili wajue wanaanzia wapi Putin ndio hamumuwezi kabisa kila siku France anafungashwa virago Afrika
 
Back
Top Bottom