Kushuka kwa thamani ya shilingi, zigo lililomshinda Mwigulu kulielezea kiuchumi

Tuna import mno. Inatakiwe tuzalishe wenyewe na vingine tuanze kuexport nje ndio tutabalance trade. Utalii impact yake ni ndogo kwenye uchumi kwa kuwa mahoteli mengi na sekta nzima ya utalii imeshikwa na makampuni toka nje. Kwa hiyo hela ya utalii inarudi hukohuko nje.

Kwa hali ilivyo dola itafika 3000. Na wakiendelea kusifiasifa dola itakuja kuwa 10,000.
2025-$1=Tsh 3,000/= +

2028-$1=Tsh 10,000/=+

Anaupiga mwingi mno [emoji1787]
Mkuu kuna nchi kama Morocco Egypt sheli sheli zina depend katika utalii kwa 70% wakati sie tuna vivutio utalii vingi kuwapita kinacho takiwa ni kufufua huo utalii pesa yetu ita paa
 
Kulingana na data zilizopo hata mtandaoni, shillingi yetu imeshuka kwa kiwango cha kutisha.
REKODI ZIPO HIVI:
Mwaka 2020. 1 Dollar -Tshs 2,314.8
Mwaka 2021. 1Dollar -Tshs 2,314.3
Mwaka 2022. 1Dollar- Tshs 2,326.1
Mwaka 2023 1Dollar- Tshs 2,419.6
Mwaka 2024 1Dollar- Tshs 2,463.5(Jan -June)
Sasa hivi June 2024 1Dollar -Tshs 2,627.5

Hizi ni data unaweza kuzipata hata Bank of Tanzania(Benki Kuu)

Lakini blck Market rate kwa sasa hivi mitaanai 1Dollar-Tshs 2,850, na dollar haipatikani hata benki zetu.

KWA NINI?

Dollar ZOTE ZINANUNULIWA NA MAKAMPUNI YA KI CHINA, kwa bei ya Tshs 2,850 tena bila kupepesa macho.

Nashangaa wabunge hawambani Waziri wa Fedha kuwa hili ni janga la kitaifa. Na janga hili limeanza baada ya mwaka 2022.

Dr wa uchumi, Dr Mwigulu Nchemba hapa inabidi awajibike na madhara ya kuwapa wachina kazi zote za ujenzi na wao wachina wanakausha Dollar katika uchumi wetu.
Jidu,
Tanzania ni shamba la bibi, mimi nishakaa na mkuu mmoja nikamwambia kuhusu jinsi uchumi unavyoharibiwa na hawa watu uliowataja, lakini nilichoshangaa hawa waliopewa madaraka kuongoza nchi hasa Bank Kuu na Wizara ya fedha including taasisi nyingi za fedha na biashara ni kama vile hawajui lolote kuhusu uchumi na wengi wamesomea uchumi. Kwanza unamuuliza waziri hizi mashine za bahati ambazo zipo hadi kijijini kwa nini zinaruhusiwa? Jibu lao anakwambia ati zinapunguza unemployment; unamuuliza hebu aelezee madhara yake yeye hajui. Kwanza zile mashine anayepata siyo mwananchi yaani hizo machine zinakusanya pesa kutoka kwa wananchi, yaani wanazoa pesa, wanakusanya hizi pesa wanaenda Dar na makao makuu ya mikoa wananunua dollar wanapelela kwao. Waziri anabisha hadi ishipa ya shingo inamtoka kama vile yeye anatumikia hao wezi.

Laana nyingine ya nchi yetu kwa hawa watawala, kila kazi sasa hivi anapata Mchina au muarabu; na wahindi, kwa sababu hawa wanakubali kutoa rushwa na kupandisha gharama za miradi. Na hawa wakuu waipewa cha juu nafikiri hata mkuu kule juu anapata direct au indirect; unashangaa kampuni inajenga barabara inapata faida ya equivalent ya dollar 62 million kama faida, sasa hizo barabara zina gharama ya bei ya chini kulinganisha na hiyo faida. Hizo kampanu haziweki pesa Tanzania pesa, wana network zote kwenye casinos, bank kuu, bank za biashara hata black market kununua hizo dollar; sasa hizo dollar mtatunza wapi? Wamekuja kukusanya na watendaji wetu wanawaangalia tu.
 
Screenshot_20240615_182112_Airtm.jpg

Savings zangu zote za shillings nimeziamisha either kwa USD au USDC au Gold, Account ya shillings imebaki moja tu ya matumizi ya hapa na pale. Trust me, mwaka huu ukiisha dola mnainunua kwa 3500
 
Jidu,
Tanzania ni shamba la bibi, mimi nishakaa na mkuu mmoja nikamwambia kuhusu jinsi uchumi unavyoharibiwa na hawa watu uliowataja, lakini nilichoshangaa hawa waliopewa madaraka kuongoza nchi hasa Bank Kuu na Wizara ya fedha including taasisi nyingi za fedha na biashara ni kama vile hawajui lolote kuhusu uchumi na wengi wamesomea uchumi. Kwanza unamuuliza waziri hizi mashine za bahati ambazo zipo hadi kijijini kwa nini zinaruhusiwa? Jibu lao anakwambia ati zinapunguza unemployment; unamuuliza hebu aelezee madhara yake yeye hajui. Kwanza zile mashine anayepata siyo mwananchi yaani hizo machine zinakusanya pesa kutoka kwa wananchi, yaani wanazoa pesa, wanakusanya hizi pesa wanaenda Dar na makao makuu ya mikoa wananunua dollar wanapelela kwao. Waziri anabisha hadi ishipa ya shingo inamtoka kama vile yeye anatumikia hao wezi.

Laana nyingine ya nchi yetu kwa hawa watawala, kila kazi sasa hivi anapata Mchina au muarabu; na wahindi, kwa sababu hawa wanakubali kutoa rushwa na kupandisha gharama za miradi. Na hawa wakuu waipewa cha juu nafikiri hata mkuu kule juu anapata direct au indirect; unashangaa kampuni inajenga barabara inapata faida ya equivalent ya dollar 62 million kama faida, sasa hizo barabara zina gharama ya bei ya chini kulinganisha na hiyo faida. Hizo kampanu haziweki pesa Tanzania pesa, wana network zote kwenye casinos, bank kuu, bank za biashara hata black market kununua hizo dollar; sasa hizo dollar mtatunza wapi? Wamekuja kukusanya na watendaji wetu wanawaangalia tu.
Mkuu mashine za betting nyingi siku hizi zinamilikiwa na wazawa pia zinalipishwa kodi kubwa , huwezi wananchi hawalazomishi kuzichezwa ni utashi wao kama wanao enda bar, kasino, guest, nk.......sidhani kama hizo kazi zinauhusiano na kuadimika kwa dollor.....
 
Samia kwasababu hajui anachofanya ndio maana ameamua kuendelea kumkumbatia failure wa sampuli ya Mwigulu na ndio anamuamini kupita maelezo.
 
Mkuu mashine za betting nyingi siku hizi zinamilikiwa na wazawa pia zinalipishwa kodi kubwa , huwezi wananchi hawalazomishi kuzichezwa ni utashi wao kama wanao enda bar, kasino, guest, nk.......sidhani kama hizo kazi zinauhusiano na kuadimika kwa dollor.....
Kumbe haukoinformed. Kuna syndicate inamiliki hizi machine, kila sehemu nyingi zimewekwa baa au guset house na member wa hizo syndicate, wanawapa bar au guest house au hiyo sehemu commissions. kiduchu.

Halafu umejibu kirahisi sana, hata idea ya kuchezesha hizo machine lazima ujuwe unahusisha pesa nyingi sana za mzunguko; lazima parliament iwe anajua athiri ya pesa kama hizo. Ndiyo Nchi nyngi duanian pamoja na China vitu kama hizo betting, Casinos haviruhusiwi kwa sababu vinaeza kuharibu uchumi! This is part of big economy.
 
Mwingulu hawezi kujifunza chochote ni armature au novice katika masuala ya uchumi hajawahi kua popote katika hilo sahau kabisa.
Ndugu yangu Covax, andika tu kwa Kiswahili waswahili wenzako wakuelewe...hiyo lugha imekukataa! Je unajua hata maana ya armature?

Hata hivyo kwa Mwigulu hakuna kitu pale kwani siku atakapoweza kutambua kuwa hajui, hii nchi itakuwa chini ya ardhi.
 
Umetoa jibu pasipo kulielewa swali mkuu, defficiency ya foreign currency has nothing to do with devaluation.
Lakini labda imetokana na Diamond Platinumz kukosa shows nyingi za nje... yule kijana alikuwa analeta dollar nyingi. Lawama namtupia Babutale na viongozi wengine wa WCB.
 
Mwingulu hawezi kujifunza chochote ni armature au novice katika masuala ya uchumi hajawahi kua popote katika hilo sahau kabisa.
Matatizo ya macroeconomics kama haya, waziri asipoweza kuyatatua ndani ya kipindi chake, basi huyo ni mwimba mapambio tu. Dr Samia oyee!
 
Inawezekana kweli, lakini mimi tatizo langu na Mwigulu ni jinsi asivyoelezea kwa nini Dollar haipatikani kwa kawaida yake kwenye uchumi.
All imports require this covertible currency.
Kwa nini dola haipatikani kirahisi?

Waziri wa Fedha:

Jdhyusosnshsnsn Yangansisksn Azizi K shsnsjsmkajsjs. TRAB ahshshjeosj TRATA. Jsjskshjsjs ajsjhebsjjsjsjss. Sjdjjskdbsiiwishs.

Baada ya jibu hilo mujarabu, pia napenda kumshukuru sana sana Sa100 kwa uongozi wake makini na utendaji fanisi katika serikali, kitu ambacho hakijawahi kutokea kwa miaka mingi katika nchi yetu.
 
Back
Top Bottom