Kushuka kwa thamani ya shilingi, zigo lililomshinda Mwigulu kulielezea kiuchumi

Ni kweli, waziri wa fedha ni mmoja wa watu wabaopwaya katika nafasi yake. Ni kama mtu wa bora liende.
Suala hili la fedha yetu kuporomoka ndani ya hasa mwaka huu mmoja lazima aweze kujibu kwa nini linatokea na jinsi ya kuchukua hatua kudhibiti tatizo holi!
 
Kwa mujibu wa Dokta mwenyewe, uchumi wetu unakua vizuri, na nchi yetu deni la taifa linahimilika, na bado tunakopesheka.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hilo neno β€œtunakopesheka” nalichukia Sana Kila linapotajwa…sijui ni Kwa nini …
Ila likitajwa tu, hata hamu ya chakula basi…
 
Nchi ina rasilimali zote za kutengeneza pesa bila kua omba omba Mungu katupatia, lakini walivyo kua hawana akili timamu wanaziacha nyuma Kila siku kiguu na njia kuomba misaada na kukopa alafu wanagawa na kuweka rehani rasilimali zile zile, wameshindwa kujenga viwanda vya kuzalisha na kuuza nje hakuna juhudi zozote wanazo fanya ili kuinua kilimo wananchi tukalima kwa ukubwa na huko ndiko ambako hasa midola inapatikana tunakwenda tuu ilimradi, alafu bado wanapata nguvu ya kusema wapinzani hawafai πŸ€” hua nawaombea mabaya tuu siku wakiwa kikao Cha chama litokee hata tetemeko liwamalize wote labda nchi itapumua
 
Defaluation ya local currency pia ni mbinu ya uchumu ku-promote export na ku-discurrage import, huenda hilo linafanywa kwakusudia na BOT.
If true This the worst idea, hii mbinu itafeli watafute nyingine, we all know mazingira ya uwekezaji nchini yakoje yet tuna import zaid, export hatuwekez kwbisa
 
Mmh!!!! akili ndogo, fuata thim ya mada sio spelling error unajua watu walio soma kiingereza ukubwani some time ni shida kila wakati anatafuta identification
Kukubali kukosolewa nao ni uungwana.Kama haujui,ndiyo ujifunze.
 
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
Point well noted
 
Utaumiza kichwa wenzako hawajali, haumii kabisa kuona tanzania ikiyumba na mtanzania wa chini kabisa akiteseka.
 
Mkuu kuna nchi kama Morocco Egypt sheli sheli zina depend katika utalii kwa 70% wakati sie tuna vivutio utalii vingi kuwapita kinacho takiwa ni kufufua huo utalii pesa yetu ita paa
One of the reasons tupo hapa ni kuwa utalii wetu tuna charge gharama kubwa but services si nzuri. is why statusticaly wageni wengi wakija hawarudi. Kuna sababu nyingi pia serikali itabidi iamke kwenye hili
 
Utaumiza kichwa wenzako hawajali, haumii kabisa kuona tanzania ikiyumba na mtanzania wa chini kabisa akiteseka.
Wao hawaumii lakini wananchi tunaumia. Ukweli ni kwamba kama ulikuwa unaagiza dawa fulani kwa Dollar 100 mwaka jana kwa Tshs 230,000 leo dawa ile ile ya Dollar 100 unailipia kwa Tshs 285,000. Ongezeko la shs 55,000 kutokana na kuporomoka hela yetu.
Natamani kumtukana mtu. 😲😨😨😨
 
Mnamuonea bure "Dr" wa uchimi, Mwigulu. Zaidi ya sifa kwa Dr Samia zilizosheheni , kichwani ni mtupu kiuchumi.
 
Majizi hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…