Uchumi wa fremu, Frameconomics.
Kilakitu tunaagiza (imports), tunavyouza nje (exports) ni vichache mno. Na nchi inapokea hela za kigeni chache mno.
Hapo ngoja chawa waje kusifia tu. Na yule mtaalam wa uchumi akishavaa tai ya bendera, ashushe nondo za uchumi kiwango cha PHD.