Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nahitaji dawa ya sukari kwa anayejua
Sukari ikishuka, kwa njia ya tibalishe kama hii ya juisi ya mchicha mbichi, kwa mgonjwa ambaye ilikuwa haishuki kwa baadhi ya watu, itakuwa ni jambo la manufaa...
Swali zuri sana\aaaaa
ShukraniiiiDawa hamna mkuu utaliwa hela zako tu cha msingi diet iwe fresh tu, achana na vyakula vya wanga, sukari na punguza ulaji wa matunda yenye sukari. Hapo sukari itashuka yenyewe na uta enjoy maisha, kula sana nyama zote, mbogamboga za majani na matunda(Ila yenye sukari kula kwa wastani)
Mlenge kikombe kimoja mara ngapi kwa siku kwa muda gani?
Sukari usiile kabisaaaDawa hamna mkuu utaliwa hela zako tu cha msingi diet iwe fresh tu, achana na vyakula vya wanga, sukari na punguza ulaji wa matunda yenye sukari. Hapo sukari itashuka yenyewe na uta enjoy maisha, kula sana nyama zote, mbogamboga za majani na matunda(Ila yenye sukari kula kwa wastani)
Unataka kupata mrejesho wakati aliye toa hiyo dawa ya asili ya kutibu Ugonjwa wa kisukari hivi sasa amekuwa ni Marehemu aka (RIP) Huwezi kujuwa labda yeye Marehemu pia alikuwa anao huo ugonjwa wa kisukari na akawa anatumia hiyo dawa ya jusi ya mchicha na haikomsaidia kitu. Utawezaje kupata mrejesho? Dawa ya Kutibu ugonjwa wa kisukari mimi ninayo ukihitaji nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia upate kupona maradhi yako.Mrejesho walio tumia juisi ya mchicha je hakuna walio jaribu?
😂😂😂😂😂😂mkuu mzizi mkavu umenichekesha sana .Ahsante sikuwa nimecheka toka asubuhiUnataka kupata mrejesho wakati aliye toa hiyo dawa ya asili ya kutibu Ugonjwa wa kisukari hivi sasa amekuwa ni Marehemu aka (RIP) Huwezi kujuwa labda yeye Marehemu pia alikuwa anao huo ugonjwa wa kisukari na akawa anatumia hiyo dawa ya jusi ya mchicha na haikomsaidia kitu. Utawezaje kupata mrejesho? Dawa ya Kutibu ugonjwa wa kisukari mimi ninayo ukihitaji nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia upate kupona maradhi yako.
dawa za hospital zinasaidia kushusha tu na pia mgonjwa akishashusha basi aachane nazo abaki tu kubalansi na vyakula.mm mama yangu siku hiz imekaa vzr ana mwaka wa tatu huu ipo normal sema tu presha ndio inamsumbua.B
Yes, bado anaumwa japo anaendelea vizuri kwa kutumia vyakula na dawa za hospitali ambazo kwa hakika haziponyeshi kisukari bali zinasaidi tu kushusha kiwango cha sukari kwenye damu
Tumejitahidi sana kumtafutia tiba za asili lakini tatizo ni kwamba kila anayesema ana dawa anakuhakikishia kua hiyo ndio yenyewe, watu wengi wamepona na kwamba lazima muilipie, tena bei zao sio ndogo. Mwisho wa siku mnagundua kua nayo hiyo ni dawa ya kupunguza tu kiasi cha sukari kwenye damu na muda wowote akiacha masharti ya vyakula au akiacha dawa za hospitali inapanda tena!