Kusifiwa na mwanaume mwingine nako kubaya?

Kwani kupost picha ndo kufanya Jamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupost picha sio za kimalaya,picha za kawaida tuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
U pumbav tu....
Unafikiria kina Nancy sumari, na wengineo wana. Muda huo wa kupost ili wasifiwe chuchu, shape na vitu vingine??! Na tunajua no warembo Mpka moss Tanzania??
Mwanamke yeyote anae post picha ili asifiwe kwenye social. Media huyo ni "cheap"... Hana viwango ndo. Mana anataka sifa za wanaume kwenye Mitandao.. Wanaojua thamani Yao hukuti wana post hizo picha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safari moja huanzisha nyingine, unafurahia maana umesifiwa wewe, how if ukikuta amesifiwa yeye na wanawake??

Na hadi uone wanaume wanatoa sifa za aina hiyo basi jua tu kuwa picha uliyopost haina maadili. Na wamekuchukulia hivyo hivyo ndio maana na coments wakatoa za aina hiyo.

Mahusiano ni kuridhiana na kufanya yale ambayo hayamkwazi mwenzio, kama hayo yanamkwaza basi jitathmini maana yeye sio mjinga hadi aongee hivyo.
 
Sijapata point, labda niende then nirudi baadae!!

Ila kweli nimeamini mwanamke pambo, kwahiyo kumbe ndo sababu zenyewe hizo za kupost mipicha umejiaachia, kumbe feedback ndo unataka!!
Hakika umemdhalilisha sana boy wako, yahani in short hajui kukusifia na hajui kukufanyia evaluation ndo maana unaitafutia nje!!

Ila anyway nakuja kukuomba urafiki fb ili niwe nakumwagia misifa!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila mwanaume wa mtandaoni hadi aanze na sifa za jina la my love....mweh!! Hapana uko ni kuendekeza na huyo mwanaume wako anahaki ya kun'gaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mtoto mzuuuuuuri, una lips nzuri na pana na ngozi nyororo kama yamini kwa mtazamo tu Kasura innocent, macho mazuri, nyusi sasa, ziko asilia kama ulivyoumbwa. Tena unaonekana bado kabichi bichi! Pi wonekana una kimo sahihi cha kike.
Walahii Mungu kakuumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…