Kusifiwa na mwanaume mwingine nako kubaya?

Kusifiwa na mwanaume mwingine nako kubaya?

Katika kitu ambacho nakipiga vita ni kuona wife kajipost fb iwe picha za heshima au uchi.. Mi binafsi namshukuru Mungu hajawahi kujipost hata siku moja na ye binafsi hapendi huo upuuzi wa kuuza sura. Hata yeye hapendi kuona nasifia na wadada fb anakua mkali na tunamaliziana wasap..
===================
Kwako wewe mleta mada... Wewe ndo chanzo cha kusifiwa chuchu, usitafute mchawi.. Mi binafsi siwapi nafasi wadada wa fb kufanya watakalo juu yangu na pia kila siku wananiambia namuogopa mke wangu kwakua nawapiga biti kutumia picha zangu vibaya.. Najijua mwenyewe sasa hivi tunaheshimiana sana.. Wana like, kukoment lakini sio koment za uchochezi.. Labda nikwambie kitu mimi nilikua na girlfriend sasa hivi haniongeleshi mwezi tena huu kisa kila akiona nimetupia picha kuna wadada kama watatu wanawahi seat ya kulike tu.. Akanijia juu kwamba ni madem zangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kupost picha ndo kufanya Jamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukijiweka Ki-Malaya,tutakuchukulia Ki-Malaya.
PERIOD.
Mtu hawezi kusifia asichokiona,sasa kama wee umeona ni ustaarabu kuvaa nguo inayoonyesha chuchu zako n.k alafu ukapiga na picha basi unapost mtandaoni na sisi tunasifia tunachokiona...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kupost picha sio za kimalaya,picha za kawaida tuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
U pumbav tu....
Unafikiria kina Nancy sumari, na wengineo wana. Muda huo wa kupost ili wasifiwe chuchu, shape na vitu vingine??! Na tunajua no warembo Mpka moss Tanzania??
Mwanamke yeyote anae post picha ili asifiwe kwenye social. Media huyo ni "cheap"... Hana viwango ndo. Mana anataka sifa za wanaume kwenye Mitandao.. Wanaojua thamani Yao hukuti wana post hizo picha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safari moja huanzisha nyingine, unafurahia maana umesifiwa wewe, how if ukikuta amesifiwa yeye na wanawake??

Na hadi uone wanaume wanatoa sifa za aina hiyo basi jua tu kuwa picha uliyopost haina maadili. Na wamekuchukulia hivyo hivyo ndio maana na coments wakatoa za aina hiyo.

Mahusiano ni kuridhiana na kufanya yale ambayo hayamkwazi mwenzio, kama hayo yanamkwaza basi jitathmini maana yeye sio mjinga hadi aongee hivyo.
 
Sijapata point, labda niende then nirudi baadae!!

Ila kweli nimeamini mwanamke pambo, kwahiyo kumbe ndo sababu zenyewe hizo za kupost mipicha umejiaachia, kumbe feedback ndo unataka!!
Hakika umemdhalilisha sana boy wako, yahani in short hajui kukusifia na hajui kukufanyia evaluation ndo maana unaitafutia nje!!

Ila anyway nakuja kukuomba urafiki fb ili niwe nakumwagia misifa!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila mwanaume wa mtandaoni hadi aanze na sifa za jina la my love....mweh!! Hapana uko ni kuendekeza na huyo mwanaume wako anahaki ya kun'gaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
20180823_122105.png

Mtoto mzuuuuuuri, una lips nzuri na pana na ngozi nyororo kama yamini kwa mtazamo tu Kasura innocent, macho mazuri, nyusi sasa, ziko asilia kama ulivyoumbwa. Tena unaonekana bado kabichi bichi! Pi wonekana una kimo sahihi cha kike.
Walahii Mungu kakuumba.
 
Back
Top Bottom