cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,448
- 7,972
- Thread starter
- #41
Kwani kupost picha ndo kufanya Jamani.Katika kitu ambacho nakipiga vita ni kuona wife kajipost fb iwe picha za heshima au uchi.. Mi binafsi namshukuru Mungu hajawahi kujipost hata siku moja na ye binafsi hapendi huo upuuzi wa kuuza sura. Hata yeye hapendi kuona nasifia na wadada fb anakua mkali na tunamaliziana wasap..
===================
Kwako wewe mleta mada... Wewe ndo chanzo cha kusifiwa chuchu, usitafute mchawi.. Mi binafsi siwapi nafasi wadada wa fb kufanya watakalo juu yangu na pia kila siku wananiambia namuogopa mke wangu kwakua nawapiga biti kutumia picha zangu vibaya.. Najijua mwenyewe sasa hivi tunaheshimiana sana.. Wana like, kukoment lakini sio koment za uchochezi.. Labda nikwambie kitu mimi nilikua na girlfriend sasa hivi haniongeleshi mwezi tena huu kisa kila akiona nimetupia picha kuna wadada kama watatu wanawahi seat ya kulike tu.. Akanijia juu kwamba ni madem zangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app