naunga mkono hojaIla mwanaume wa mtandaoni hadi aanze na sifa za jina la my love....mweh!! Hapana uko ni kuendekeza na huyo mwanaume wako anahaki ya kun'gaka
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂 nenda watsap kaicopy then uje upaste 😂😂Kichwa kinaniwanga nahangaika kutafuta emoji ya dole la kati muda huu
Asante kwa ushauri ila imenigomea kupaste[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nenda watsap kaicopy then uje upaste [emoji23][emoji23]
labda humu wameiblock isitumikeAsante kwa ushauri ila imenigomea kupaste
Kama unahisi itapelekea ugomvi na bwana ako kwann usifute.? Si kawaida mtu hamfahamiani aanze tu kukusifia. Utasifiwa nguo kwa kupendeza na kadhalika siyo kwa viungo vya mwili huu ni ushenzi.
Kwani chuchu changa huwa hazichomozi ndani ya blouse, lazima avue ndipo uzione?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]View attachment 844715
Mtoto mzuuuuuuri, una lips nzuri na pana na ngozi nyororo kama yamini kwa mtazamo tu Kasura innocent, macho mazuri, nyusi sasa, ziko asilia kama ulivyoumbwa. Tena unaonekana bado kabichi bichi! Pi wonekana una kimo sahihi cha kike.
Walahii Mungu kakuumba.
Afadhali sie tunaowachamba wakiwa na bonge ya mnido etc hatuwezi omba kujongea katika Karamu ya bwanaHuko kusifiwa sifiwa mwisho wa siku atataka aoene yaliyomo ndani akusifie..
Mwanaume anayekusifia hana nia nzuri nakuapia, furahi ukisifiwa na mpenzio au mmeo..