MAGO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,278
- 3,023
wanawake wagawaji ni rahisi kuwajua kupitia comment za watu kwenye posts zao.
Yule anayejiheshimu huwezi kuta mwanaume akicomment kwenye post yake maneno kama my love.. mpz.. umenoga,, mtoto mashallah n.k na yeye anachekelea lazima huyo analika kirahisi..
so mpenzi wako yuko sahihi ni jukumu lako kubadilika na kumsikiliza kama unapenda mahusiano yenye nuru mbele hao wanaokusifiasifia wakati unasikilizia maumivu ya kupigwa chini hutoona hata mmoja.
.Ndivyo tulivyo sisi wanaume hatupendi kuona mpenzi wako kila kukicha ni kusifiwa na wanaume wengine so badilika