Kusifiwa na mwanaume mwingine nako kubaya?

Kusifiwa na mwanaume mwingine nako kubaya?

wanawake wagawaji ni rahisi kuwajua kupitia comment za watu kwenye posts zao.

Yule anayejiheshimu huwezi kuta mwanaume akicomment kwenye post yake maneno kama my love.. mpz.. umenoga,, mtoto mashallah n.k na yeye anachekelea lazima huyo analika kirahisi..

so mpenzi wako yuko sahihi ni jukumu lako kubadilika na kumsikiliza kama unapenda mahusiano yenye nuru mbele hao wanaokusifiasifia wakati unasikilizia maumivu ya kupigwa chini hutoona hata mmoja.

.Ndivyo tulivyo sisi wanaume hatupendi kuona mpenzi wako kila kukicha ni kusifiwa na wanaume wengine so badilika
 
Huyo mwanamme wako ni polisi, taksi dreva, au hata ni miongoni mwa wale wanaume ambao kwenye uzi wako ule mwingine ulisema huwataki?
 
Kama ni wew wa kwenye avatar basi una lips laini[emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
457212.jpg
 
Kichwa kinaniwanga nahangaika kutafuta emoji ya dole la kati muda huu
 
Ungekua mke usingeweza kufanya hivyo lakini maadam ni mpenzi basi hakuna shida
 
Inaonekana unapost picha za ushawishi/kuwatega wanaume, iweje aseme "chuchu tamu balaa", kazionaje kama umetupia picha za kusitiri mwili?

Jichunguze unachopost kabla ya kumlaumu huyo boy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe hutujui wewe enh..

Sie wanamume aisee tunaanzia mbaaali kama hatutaki vile alafu tunapita shaaaa kama kipanga.

Sasa we endelea kushabikia masifa tunayomwaga utajionea. [emoji41]
 
Huko kusifiwa sifiwa mwisho wa siku atataka aoene yaliyomo ndani akusifie..
Mwanaume anayekusifia hana nia nzuri nakuapia, furahi ukisifiwa na mpenzio au mmeo..
Afadhali sie tunaowachamba wakiwa na bonge ya mnido etc hatuwezi omba kujongea katika Karamu ya bwana
 
Back
Top Bottom