MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
sweetheart, tendo la ndoa lipo kwa ajili ya wanandoa tu, na ni tendo la baraka na la kumfurahisha Mungu.Tena kuna wakati unasikia kabisa mtu anakandamizwa(anangonolewa) vilivyo na sauti ya kuulilia mkurudungu wa aliye kifuani kwake ukiisikia dirishani, ila hapo hapo tena unasikia playlists za gospel songs tupu zinaimba.
Kwa mnaojua mna imani hii ni sawa?
Singeli mkuu singeliWewe huwa unapenda midundo gani... ?!
Kuhusu Mungu kufurahi....sweetheart, tendo la ndoa lipo kwa ajili ya wanandoa tu, na ni tendo la baraka na la kumfurahisha Mungu.
Uzinzi ni mpango wa shetani, mkiwa mnazini huku mnasikiliza nyimbo za injili na mgandane muaibishwe hadharani
๐๐๐Hiyo ni Kwa wanandoaKugongana ni ibada mkuu, ibada lazma iende na kwaya kidogo
Hahaha. Singeli labda ukikaribia mwisho wa safari...!!Singeli mkuu singeli
Aaah weka weka weka baharia wangu weeee ๐ถ๐ถ๐ตHahaha. Singeli labda ukikaribia mwisho wa safari...!!