Kusimama na Catherine Ruge ni Wajibu

Kusimama na Catherine Ruge ni Wajibu

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Familia za wahanga wa mauaji ya Tarime kwa hakika zimekosewa sana.

Hivi ndivyo ilivyo kwa vifo vyote vya makusudi vinavyotekelezwa na vyombo vya dola kinyume cha sheria.

IMG_20220926_150603_310.jpg

Wito huu ni kwa wapenda haki, vyama vya siasa, asasi za kiraia na wapenda amani wote.

Catherine Ruge anapambana. Kwa hakika tunawajibika kusimama naye.
 
WaTozonia wakila wakishiba, wakisex na wakifungua tiktok na Instagram wamemaliza, Idea ya human right kwao iko very limited and selfishly implemented.

1. Kuna dhulma kama Jecha kuamua tu kufuta uchaguzi bila jambo la msingi?
2. Binti Akwilina kuna majibu yaliotolewa ya maana ?
3. Kuna alietoa majibu kupigwa lisasi kwa Lisu?
4. Kuna uhuni wa wazi kama kuuwawa kwa mfanyabiashara Hamis kule mtwara kwa tamaa za Askari na mpaka sasa hakuna muelekeo wa maana?
5. Unakumbuka waliofia mahabusu Mwanza ?

Tanzania iache tu, waambie wazike basi waendelee na maisha, wataingia gharama za kutunza mwili lakini hakuna cha maana kitaoatikana
 
Ulichoandika hapa labda utakuwa una maanisha total failure ya vyama vya Siasa vikiwamo CCM, Chadema, Tadea na wote. Kwamba:

Vyama vya Siasa havijui au vimesahau wajibu wao?
 
Huyu Catherine Ruge anaonekana ni Kamanda kweli kweli. Anaonekana siyo mtu wa kucheka na kima.

Hawa ndiyo makamanda wachache wenye uthubutu (balls) waliobakia.

Hawa ndiyo wale wenye kutambua kufungwa au kifo hakuwezi kuwa kitisho.

Catherine Ruge hapiganii familia yake pekee. Catherine Ruge anapambana na police brutality. Anapambana na extra judicial killings.

Nani yuko salama?

Kukaa kimya ni usaliti daraja ya juu.
 
Acha kutetea uhuni mtu mjomba wake alikuwa na rekodi ya uhalifu ya muda mrefu sana ,matukio ya ukabaji na uporaji kafanya sana na hata amewahi kufungwa miaka 30 jela kwa uhalifu wa kutumia silaha ila Leo BAVICHA na BAWACHA mnamtetea hivi mna nini na hii nchi?

BAWACHA acheni makasiriko waambieni wajomba zenu uhalifu wa kutumia wakafanyie Congo
 
Familia za wahanga wa mauaji ya Tarime kwa hakika zimekosewa sana.

Hivi ndivyo ilivyo kwa vifo vyote vya makusudi vinavyotekelezwa na vyombo vya dola kinyume cha sheria.

View attachment 2368853

Wito huu ni kwa wapenda haki, vyama vya siasa, asasi za kiraia na wapenda amani wote.

Catherine Ruge anapambana. Kwa hakika tunawajibika kusimama naye.
Unasimamaje na kahaba? Yule amechoka a anatafuta Kiki akijaribu kuwalinda wahalifu apate umaarufu. Anashirikiana ns wezi, anafaifika na uwizi w mjombake. Naye akamatwe atoe ushirikiano. RPC wa Mara mdebweto kweli arudishwe makao makuu
 
Acha kutetea uhuni mtu mjomba wake alikuwa na rekodi ya uhalifu ya muda mrefu sana ,matukio ya ukabaji na uporaji kafanya sana na hata amewahi kufungwa miaka 30 jela kwa uhalifu wa kutumia silaha ila Leo BAVICHA na BAWACHA mnamtetea hivi mna nini na hii nchi?

BAWACHA acheni makasiriko waambieni wajomba zenu uhalifu wa kutumia wakafanyie Congo

Zingatia:

"Wito huu ni kwa wapenda haki, vyama vya siasa, asasi za kiraia na wapenda amani wote."
 
Unasimamaje na kahaba? Yule amechoka a anatafuta Kiki akijaribu kuwalinda wahalifu apate umaarufu. Anashirikiana ns wezi, anafaifika na uwizi w mjombake. Naye akamatwe atoe ushirikiano. RPC wa Mara mdebweto kweli arudishwe makao makuu

NInakazia:

"Wito huu ni kwa wapenda haki, vyama vya siasa, asasi za kiraia na wapenda amani wote.'
 
Safari ya ukombozi wa nchi hii inaweza kuanzia Tarime. Zingatia.wito huu si kwa Kila mtu. Kwamba hata Jumanne au Goodluck? Aaaah wapi!
Mnachanganya watu, ni tarime au Serengeti? Ndio maana nasema "Catherine ruge akamatwe"
 
TUko njiani kuelekea huko kuongeza nguvu. Destination inakuhusu nini wewe ambaye haki kwako ni mkuki kwa nguruwe.
 
Hizo ni njama na mnafanya kimyakimya vikao vya kumuondoa Mwenyekiti, taarifa zenu tunazo
 
Back
Top Bottom