- Thread starter
- #21
Hizo ni njama na mnafanya kimyakimya vikao vya kumuondoa Mwenyekiti, taarifa zenu tunazo
Ninyi tusubirini Tahrir ndipo moto wetu mtakapo usikia joto lake:
Tunataka haki? Hatutaki tozo? Tukutane Tahrir.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo ni njama na mnafanya kimyakimya vikao vya kumuondoa Mwenyekiti, taarifa zenu tunazo
Huyu Shangazi amepigwa, akaumizwa mpaka kulazwa na anatibiwa mpaka leo. Shangazi Fatma ofisi yake ilipigwa bomu bila majibu, kaondolewa kwenye kampuni aliyoianzisha, kafungiwa leseni inayompa kula na bado wamesimama. Kuna uzi humu niliona wanaume wazima, tena wenye magari na wasomi, mmoja hakosekani kwenye nyuzi za diamond kumpambania, wakilia lia kwamba hawawaoni akina shangazi wakiwapigania tena. Vilio hivyo vilitokana na kupanda Kwa bei ya mafuta ya gari.Huyu Catherine Ruge anaonekana ni Kamanda kweli kweli. Anaonekana siyo mtu wa kucheka na kima.
Dhalim alitaka kumnunua akamtolea mbavuni, mwanamama wa shoka huyu.Huyu Catherine Ruge anaonekana ni Kamanda kweli kweli. Anaonekana siyo mtu wa kucheka na kima.
Wacha upumbavu wewe,kwa hiyo hao wamwela walikuwa wanatembea na hukumu ya kumpiga risasi huyo mshukiwa? Kwa sababu waliondoka naye akiwa mzima kabisa.Acha kutetea uhuni mtu mjomba wake alikuwa na rekodi ya uhalifu ya muda mrefu sana ,matukio ya ukabaji na uporaji kafanya sana na hata amewahi kufungwa miaka 30 jela kwa uhalifu wa kutumia silaha ila Leo BAVICHA na BAWACHA mnamtetea hivi mna nini na hii nchi?
BAWACHA acheni makasiriko waambieni wajomba zenu uhalifu wa kutumia wakafanyie Congo
UnahusikaTumieni lugha zenye staha!
Narudia tena na ninakazia siku nikiwa Rais wa nchi hii wezi na majambazi hawatasau jina langu maana watapata show hawajapata kuonaWacha upumbavu wewe,kwa hiyo hao wamwela walikuwa wanatembea na hukumu ya kumpiga risasi huyo mshukiwa? Kwa sababu waliondoka naye akiwa mzima kabisa.
Labda ukawe Rais wa machizi pale mjini mirembeNarudia tena na ninakazia siku nikiwa Rais wa nchi hii wezi na majambazi hawatasau jina langu maana watapata show hawajapata kuona
Huyu Shangazi amepigwa, akaumizwa mpaka kulazwa na anatibiwa mpaka leo. Shangazi Fatma ofisi yake ilipigwa bomu bila majibu, kaondolewa kwenye kampuni aliyoianzisha, kafungiwa leseni inayompa kula na bado wamesimama. Kuna uzi humu niliona wanaume wazima, tena wenye magari na wasomi, mmoja hakosekani kwenye nyuzi za diamond kumpambania, wakilia lia kwamba hawawaoni akina shangazi wakiwapigania tena. Vilio hivyo vilitokana na kupanda Kwa bei ya mafuta ya gari.
Ukifikiria mtu kama huyu, pengine ana watoto wanamuita Baba, utavionea huruma vizazi vijavyo.
Kutumia lugha ya Staha kwa Wauaji is a simple definition of crazinessTumieni lugha zenye staha!
Ni muendelezo wa matendo yanayovunja sheria toka kwa jeshi la polisi, na hii yote inasababishwa na kukosekana consistence kwenye madai yetu, hasa kuhusu haki.WaTozonia wakila wakishiba, wakisex na wakifungua tiktok na Instagram wamemaliza, Idea ya human right kwao iko very limited and selfishly implemented.
1. Kuna dhulma kama Jecha kuamua tu kufuta uchaguzi bila jambo la msingi?
2. Binti Akwilina kuna majibu yaliotolewa ya maana ?
3. Kuna alietoa majibu kupigwa lisasi kwa Lisu?
4. Kuna uhuni wa wazi kama kuuwawa kwa mfanyabiashara Hamis kule mtwara kwa tamaa za Askari na mpaka sasa hakuna muelekeo wa maana?
5. Unakumbuka waliofia mahabusu Mwanza ?
Tanzania iache tu, waambie wazike basi waendelee na maisha, wataingia gharama za kutunza mwili lakini hakuna cha maana kitaoatikana
Ni muendelezo wa matendo yanayovunja sheria toka kwa jeshi la polisi, na hii yote inasababishwa na kukosekana consistence kwenye madai yetu, hasa kuhusu haki.
Matukio kama haya yanapotokea, huwa hatuhakikishi mwisho wake umejulikana, ili kama watuhumiwa wakikutwa na hatia wapelekwe mahakamani, mfano Akwilina na mauaji kule Mtwara.
Huu ukimya wetu ndio unasababisha polisi waendeleze hii tabia yao, msukumo toka kwa raia kuhusu haki huwa kuna wakati unayeyuka mithili ya barafu kwenye jua kali, na hili jukumu sio la wanasiasa peke yao, ni letu sote, kila mmoja kwa nafasi yake popote alipo, ahakikishe analaani huu ukatili kwa namna yake.
Hawa tuungane nao, tusiwaache peke yao, tabia ya kuwaacha peke yao ndio hutufanya tuanze kulalamika pale wanapoonekana kukaa kimya, kumbe kama tungejijengea mazoea ya mapambano ndani yetu, wao wakikaa kimya, sisi naturally tungeendelea na mapambano tu.Kupiga kelele sawa. Kila mmoja? Ndiyo. Lakini cha kujiuliza vyama vya siasa viko wapi?
Vyama vya Siasa havijui au vimesahau wajibu wao?
Bila kuathiri mchango wako, kwanini umemuita huyu Dada "kahaba"?Unasimamaje na kahaba? Yule amechoka a anatafuta Kiki akijaribu kuwalinda wahalifu apate umaarufu. Anashirikiana ns wezi, anafaifika na uwizi w mjombake. Naye akamatwe atoe ushirikiano. RPC wa Mara mdebweto kweli arudishwe makao makuu
Polisi ni genge la kihalifu lililoundwa na Serikali na kubarikiwa na wananchi👇
View attachment 2369352
View attachment 2369354
Catherine ruge akamatwe
Nakazia nakazia.Hawa ndiyo makamanda wachache wenye uthubutu (balls) waliobakia.
Hawa ndiyo wale wenye kutambua kufungwa au kifo hakuwezi kuwa kitisho.
Catherine Ruge hapiganii familia yake pekee. Catherine Ruge anapambana na police brutality. Anapambana na extra judicial killings.
Nani yuko salama?
Kukaa kimya ni usaliti daraja ya juu.