- Thread starter
- #41
Nakazia nakazia.
Tupinge uhuni wa mauaji ya kukusudia.
NInakazia:
Kupambana na uhalifu kihalifu hakukubaliki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakazia nakazia.
Tupinge uhuni wa mauaji ya kukusudia.
Kuna namna za kisheria za kuwapoteza wahalifu kama hao nadhani shida ni namna utaratibu wa kumpoteza umetumika.Acha kutetea uhuni mtu mjomba wake alikuwa na rekodi ya uhalifu ya muda mrefu sana ,matukio ya ukabaji na uporaji kafanya sana na hata amewahi kufungwa miaka 30 jela kwa uhalifu wa kutumia silaha ila Leo BAVICHA na BAWACHA mnamtetea hivi mna nini na hii nchi?
BAWACHA acheni makasiriko waambieni wajomba zenu uhalifu wa kutumia wakafanyie Congo
Hujui tofauti ya kufuata sheria na uhuni. Hata kama ni mhalifu hivyo ulivyotaja, ndiyo auawe na polisi? Kesho polisi wakija kukuuwa wewe wakasema ulikuwa mhalifu tukubali? Nini maana ya kuwepo serikali na sheria za nchi?Acha kutetea uhuni mtu mjomba wake alikuwa na rekodi ya uhalifu ya muda mrefu sana ,matukio ya ukabaji na uporaji kafanya sana na hata amewahi kufungwa miaka 30 jela kwa uhalifu wa kutumia silaha ila Leo BAVICHA na BAWACHA mnamtetea hivi mna nini na hii nchi?
BAWACHA acheni makasiriko waambieni wajomba zenu uhalifu wa kutumia wakafanyie Congo
Watatosha tu