WaTozonia wakila wakishiba, wakisex na wakifungua tiktok na Instagram wamemaliza, Idea ya human right kwao iko very limited and selfishly implemented.
1. Kuna dhulma kama Jecha kuamua tu kufuta uchaguzi bila jambo la msingi?
2. Binti Akwilina kuna majibu yaliotolewa ya maana ?
3. Kuna alietoa majibu kupigwa lisasi kwa Lisu?
4. Kuna uhuni wa wazi kama kuuwawa kwa mfanyabiashara Hamis kule mtwara kwa tamaa za Askari na mpaka sasa hakuna muelekeo wa maana?
5. Unakumbuka waliofia mahabusu Mwanza ?
Tanzania iache tu, waambie wazike basi waendelee na maisha, wataingia gharama za kutunza mwili lakini hakuna cha maana kitaoatikana
Huyu Catherine Ruge anaonekana ni Kamanda kweli kweli. Anaonekana siyo mtu wa kucheka na kima.
Unasimamaje na kahaba? Yule amechoka a anatafuta Kiki akijaribu kuwalinda wahalifu apate umaarufu. Anashirikiana ns wezi, anafaifika na uwizi w mjombake. Naye akamatwe atoe ushirikiano. RPC wa Mara mdebweto kweli arudishwe makao makuuFamilia za wahanga wa mauaji ya Tarime kwa hakika zimekosewa sana.
Hivi ndivyo ilivyo kwa vifo vyote vya makusudi vinavyotekelezwa na vyombo vya dola kinyume cha sheria.
View attachment 2368853
Wito huu ni kwa wapenda haki, vyama vya siasa, asasi za kiraia na wapenda amani wote.
Catherine Ruge anapambana. Kwa hakika tunawajibika kusimama naye.
Tumieni lugha zenye staha!
Acha kutetea uhuni mtu mjomba wake alikuwa na rekodi ya uhalifu ya muda mrefu sana ,matukio ya ukabaji na uporaji kafanya sana na hata amewahi kufungwa miaka 30 jela kwa uhalifu wa kutumia silaha ila Leo BAVICHA na BAWACHA mnamtetea hivi mna nini na hii nchi?
BAWACHA acheni makasiriko waambieni wajomba zenu uhalifu wa kutumia wakafanyie Congo
Unasimamaje na kahaba? Yule amechoka a anatafuta Kiki akijaribu kuwalinda wahalifu apate umaarufu. Anashirikiana ns wezi, anafaifika na uwizi w mjombake. Naye akamatwe atoe ushirikiano. RPC wa Mara mdebweto kweli arudishwe makao makuu
Wewe siyo mtanzania? Au unasimama na 'wahuni' wa Humphrey Polepole?Tumieni lugha zenye staha!
Wewe siyo mtanzania? Au unasimama na 'wahuni' wa Humphrey Polepole?
Subiria babako akiguswa na utumie lugha ya stahaTumieni lugha zenye staha!
Catherine ruge akamatwe
TRAB TRAP. TRAT YA YA YA YA YA ndio inabidi akamatwe kwa wizi wa Mali ya umma.Catherine ruge akamatwe
Mnachanganya watu, ni tarime au Serengeti? Ndio maana nasema "Catherine ruge akamatwe"Safari ya ukombozi wa nchi hii inaweza kuanzia Tarime. Zingatia.wito huu si kwa Kila mtu. Kwamba hata Jumanne au Goodluck? Aaaah wapi!
Mnachanganya watu, ni tarime au Serengeti? Ndio maana nasema "Catherine ruge akamatwe"
Hizo ni njama na mnafanya kimyakimya vikao vya kumuondoa Mwenyekiti, taarifa zenu tunazoTUko njiani kuelekea huko kuongeza nguvu. Destination inakuhusu nini wewe ambaye haki kwako ni mkuki kwa nguruwe.