Kusimama na Catherine Ruge ni Wajibu

Kuna namna za kisheria za kuwapoteza wahalifu kama hao nadhani shida ni namna utaratibu wa kumpoteza umetumika.
 
Hujui tofauti ya kufuata sheria na uhuni. Hata kama ni mhalifu hivyo ulivyotaja, ndiyo auawe na polisi? Kesho polisi wakija kukuuwa wewe wakasema ulikuwa mhalifu tukubali? Nini maana ya kuwepo serikali na sheria za nchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…