Kusinzia darasani kwa sababishwa na nini?

Juru

Senior Member
Joined
Jul 25, 2016
Posts
136
Reaction score
38
Hello waungwana nimeandika Uzi kwa lengo LA kupata msaada kwa rafiki ambaye amekuaa na tabia ya kusinzia darasan pale mwalimu anapofundisha ,haijalishi ni kipindi cha asubuh ,mchana au jion, but nimemuulizia kuhusu kusoma usiku akasema hua anasoma lakini huwa anahakikisha anapata usingiz kabla ya kuingia darasani sasa nmeshindwa kutambua nini tatizo lake japoo baadhi ya vipind hua yupo active sana but vingine ndo hivyooo kusinzia kuna kua tatizooo, sasa nimeleta thread hii kwenu japoo nipate cha kushaur kutoka na mawazo yenuu wana JF.

so mwenye ushaur au mawazo ambayoo yanaweza kumsaidiaa kutoka kwenye tatizo plz ninaomba kwa moyo mmoja ASANTE.
 
Huo ni uvivu tu na si vinginevyo
 


Ukosefu/upungufu wa Madini ya Chuma mwilini!
 
1. Awe ana kaa seat za mbele kabisa...

2. Awe anaandika kinachofundishwa. Taking notes. Hii itamfanya awe active na focused.

3. Aepuka kuzuba darasani... Awe anajibu na kuulizwa maswali..

4. Kama anakula viporo asubuhi aache.. Badala yake awe anakunywa maji ya moto.



Cc: mahondaw
 
Asanteh sana kaka kwa ushauri[emoji120]
 
Samahan mkuu huu upungufuu unasababishwa na lishe duni ama nn,na nn kifanyikee arejee kawaida?


Siwezi kusema kama ni lishe Duni au la, kwani neno lishe duni ni pana sana, kuwa na upungufu wa aina fulani ya Madini haimaanishi kwamba ana lishe Duni, inawezekana tu kwamba anakula lishe bora lkn yenye mapungufu ya hayo Madini lkn anapata Madini mengine!

Kuna vyakula vingi ambavyo vinaweza kukupa Madini ya chuma mwili, jaribu kula Mboga za majani kwa wingi, matunda na nyama!
 
Dah hii post imenikumbusha kuna demu tulisoma naye alikuwa anapenda sana kulala wakati vipindi vinaendelea sasa sikumoja akajisahau akajamba kwa nguvu ikabidi wote tugeuke kumwangalia na yeye akashtuka akaona kila mtu anamwangalia alijisikia noma sana.
 

Hahahaahhahahaahahahahaha pia apewe kazi ya kufuta ubao
Kwani yupo levo gani ya elimu??
 
Ooooohh n tatizoo criaz mkubwa,bt nae angetafuta utatuz mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…