Juru
Senior Member
- Jul 25, 2016
- 136
- 38
- Thread starter
- #21
Nashukuru sana nduguu yanguSiwezi kusema kama ni lishe Duni au la, kwani neno lishe duni ni pana sana, kuwa na upungufu wa aina fulani ya Madini haimaanishi kwamba ana lishe Duni, inawezekana tu kwamba anakula lishe bora lkn yenye mapungufu ya hayo Madini lkn anapata Madini mengine!
Kuna vyakula vingi ambavyo vinaweza kukupa Madini ya chuma mwili, jaribu kula Mboga za majani kwa wingi, matunda na nyama!