Kusinzia darasani kwa sababishwa na nini?

Kusinzia darasani kwa sababishwa na nini?

Siwezi kusema kama ni lishe Duni au la, kwani neno lishe duni ni pana sana, kuwa na upungufu wa aina fulani ya Madini haimaanishi kwamba ana lishe Duni, inawezekana tu kwamba anakula lishe bora lkn yenye mapungufu ya hayo Madini lkn anapata Madini mengine!

Kuna vyakula vingi ambavyo vinaweza kukupa Madini ya chuma mwili, jaribu kula Mboga za majani kwa wingi, matunda na nyama!
Nashukuru sana nduguu yangu
 
Punguza misongamano ya majukum usiku at jitaid kulala mapema sana pia ukiw kwa darasa unapokua auko na kaz at teach ajazama clas jitie ubize at a kwa kuchora katuni at ndani ya mwez mmoja utakua sawa at
 
Back
Top Bottom