Juru
Senior Member
- Jul 25, 2016
- 136
- 38
Hello waungwana nimeandika Uzi kwa lengo LA kupata msaada kwa rafiki ambaye amekuaa na tabia ya kusinzia darasan pale mwalimu anapofundisha ,haijalishi ni kipindi cha asubuh ,mchana au jion, but nimemuulizia kuhusu kusoma usiku akasema hua anasoma lakini huwa anahakikisha anapata usingiz kabla ya kuingia darasani sasa nmeshindwa kutambua nini tatizo lake japoo baadhi ya vipind hua yupo active sana but vingine ndo hivyooo kusinzia kuna kua tatizooo, sasa nimeleta thread hii kwenu japoo nipate cha kushaur kutoka na mawazo yenuu wana JF.
so mwenye ushaur au mawazo ambayoo yanaweza kumsaidiaa kutoka kwenye tatizo plz ninaomba kwa moyo mmoja ASANTE.
so mwenye ushaur au mawazo ambayoo yanaweza kumsaidiaa kutoka kwenye tatizo plz ninaomba kwa moyo mmoja ASANTE.